SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yupo anapiga nyunguMayala kwani anasemaje?
Ukipewa itakusaidia niniKama wamemuua Ben si watupatie maiti yake tuizike?
Mkikaa nayo inawasaidia nini?Mnajiongezea laana na mabalaa.Ona sasa...Ukipewa itakusaidia nini
AISEE MKUU POLE SANAHahahah katika maisha nilijifunza kuwa kujifanya hero kuna gharama zake na wa kuzilipa ni wewe pekeako ila watakaonufaika ni wengine.
Nilishawahi kufanya tukio la namna hio na lilinigharimu sana. Japo niliwakomboa watu kutoka katika shida flani. Ila nilihujumiwa na mamlaka kama sehemu ya kunikomoa.
Kuna kitu wameona broHii mada imefufuka tena kwa kasi ya ajabu mno...kunanini nyuma yake!?
Ila hii ngumu kumeza aiseeWanasema alilishwa kwa chatu wa jiwe na magenge yake.
Kama kweli jamaa aliuwawa tena kwa style hii ni vema walio excute wakawafungia fundo wenye kazi zao wananielewa maana ya kufunga fundo.Damu ya Mtu huwa haipotei ipo siku watajitaja tu hata wakikimbilia MAKANISANI msamaha hautokuwepo adhabu itawakuta tena hapahapa Duniani.
Wewe p.imbi kwahiyo unaamini kauli za viongozi wa serikali ya jiwe kwamba Ben Saanane alienda kutafuta maisha bora ughaibuni, sivyo?Ila nitakuwa wa mwisho kuamini mfalme aliinua mkono wake dhidi ya mkosoaji yule hata Kama unamchukia mtu usimsingizie baya.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kama wamemuua Ben si watupatie maiti yake tuizike?
Wamekuwa watu wa kutangatanga ile laana ikimaliza wao utembea kwa watoto vizazi na vizazi.Wana KILA kitu lkn hawana amani ya moyoni wamejaa huzuni,hofu,hatiaKama kweli jamaa aliuwawa tena kwa style hii ni vema walio excute wakawafungia fundo wenye kazi zao wananielewa maana ya kufunga fundo.
Tumainiel sio mnufaika this days thus ufikiria tobaCcTumainiel na memba mmoja humu hakika watakuwa wanajua kilichompata
Huelewi code hapo? RIPSo disgusting....... Bring back our Ben. Beiruti ni serikali ya kishetani na kila chama tawala ni chama cha kidhalimu