Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Hahahah katika maisha nilijifunza kuwa kujifanya hero kuna gharama zake na wa kuzilipa ni wewe pekeako ila watakaonufaika ni wengine.

Nilishawahi kufanya tukio la namna hio na lilinigharimu sana. Japo niliwakomboa watu kutoka katika shida flani. Ila nilihujumiwa na mamlaka kama sehemu ya kunikomoa.
AISEE MKUU POLE SANA
 
Damu ya Mtu huwa haipotei ipo siku watajitaja tu hata wakikimbilia MAKANISANI msamaha hautokuwepo adhabu itawakuta tena hapahapa Duniani.
Kama kweli jamaa aliuwawa tena kwa style hii ni vema walio excute wakawafungia fundo wenye kazi zao wananielewa maana ya kufunga fundo.
 
Ila nitakuwa wa mwisho kuamini mfalme aliinua mkono wake dhidi ya mkosoaji yule hata Kama unamchukia mtu usimsingizie baya.
 
Waliocheki part one usema alifia mikononi mwa steering location wakati wanashoot movie.Mzimu wake Ndio chanzo cha Master sterling kulikimbia jiji toka bondeni na kukimbilia milima ya golan.
 
Lego la serikali ya wanyonge lilikuwa kuwafanya raia wake waiogope serikali yao,wasiiohoji na Wala wasiipinge kwa chochote, hii ilisababishwa na matokea ya serikali ya Wala Bata iliyokuwa imemaliza mda wake, serikali ile ilisemwa hasa, ilihojiwa hasa na ilipingwa asubuhi, mchana jioni na usiku.
Lakini pamoja na serikali ya wanyonge kuwa na malengo hayo kulikuwa na ulazima gani wa kumuua Ben?? kuteka wakosoaji?? au kutaka kumuua mzee wa kumalizana na ma ccm??
 
Back
Top Bottom