Halafu watu wanashangaa Rais Samia anaposema viatu vya Magufuli havinitoshi!! Hivyo ndiyo viatu vyenyeweKumuua Ben na kujaribu kumuua Lisu ni absolutely unnecessary decisions.
Hakukuwa na ulazima!
Bado ilifaa hoja zao kujibiwa kwa hoja.
Yaani kwenye haya maelezo yako ya kufafanua habari za huyo mfalme wa Beiruti kama alivyo muelezea mtoa mada, umeharibu tu hapo kwenye neno:-Unajua kuna watu humu jukwaani ukiwaeleza matukio ya Mfalme wa Beirut wanakataa wanasema eti chuki binafsi sijui eti utakuwa Mhujumu nk
Lakini laiti wangekuwa wanaona yanayofanywa na yule bwana nyuma ya pazia kwa kutoa maelekezo hakika wengi wenu mtapigwa na butwaa kama sio kuzimia kabisa... Ni maajabu na unyama wa hali ya juu.. Watu wamepoteza maisha kwa stroke / BP kwa mkono wake..
Ngoja niwape kisa kimoja alichokifanya mwaka 2017.... Kuna bwana mmoja anamiliki semi trailer kama 50 hivi.. Mfanyabiashara wa muda mrefu
Sasa kulitokea mzozo wa wamiliki wa malori kipindi cha nyuma kuhusu kero za mizani kwamba kuna rushwa sana..
Lakini kulikuwa na matatizo ya faini kubwa sana wanalipishwa.. Sasa Mfalme alikuwa Waziri wa Ujenzi akawaambia faini hizo ni ndogo na akalazimisha kupitisha sheria kali sana ndogo ndogo kuhusu wamiliki wa Malori.
Huyo mfanyabiasha pamoja na wenzao wakaenda kwa Pinda kipindi hiko ni PM.. Busara ikatumika mambo yakatatuliwa mgogoro ukaisha..
Kumbe katika vikao vya usuluhishi Mfalme alimnote yule bwana kwakuwa alikuwa anatoa hoja sana ambazo yeye kama waziri alionekana anaonea..
Alipopata ufalme yule Mfanyabiashara alipata cha mtema kuni.. 2017 alinyooshwa semi trailer 10..yaani zilitaifishwa..na jamaa alikaa kimya ili awe salama.. Maana alijua nikijifanya mjuaji nitapotea humu Duniani
Mbona aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani.sasa ni waziri wa fedha.Utashangaa wajinga flani wanasifu wauaji wa watu wasiostahili kuuwawa maana hawakuwa na hatua.
Mfalme wa Beiruti tayari, Mungu mwenyewe atakuwa na mpango na wengine waliodhulumu uhai wa innocent citizens.
Kama Mungu hajapenda hata utembee uchi Ni bure tu. Yule gavana wa Chekoslovakia alimimina risasi magazine nzima na ushee lkn Mungu alisema muda niliompangia dogo kuishi duniani bado.Wauaji huwa wanasahau kama na wao ni marehemu wanaotembea?
Rest In Peace Ben SaananeAliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
."Askari wetu hawapotezi shabaha " Mungu fanya muujiza wako anywe tu kikombe
AiseehMfalme wa Beirut alitoa amri kijana mkosoaji aletwe kwenye jumba. Haraka sana wafanyakazi wakamtafuta na kumpeleka.
Alipoingia kwenye jumba kijana akamkuta mfalme amefura mithiri ya chatu.
Ndipo mfalme kwa mkono wake akainua akamnyooshea kijana mguu wa kuku na kumpeleka peponi.
Kanisa ni kijana hakiwezi kukuokoaHalafu wanaenda kujiliza makanisani!
Jamaa alikuwa anafanya mambo ya uonevu na kikatili sanaUnajua kuna watu humu jukwaani ukiwaeleza matukio ya Mfalme wa Beirut wanakataa wanasema eti chuki binafsi sijui eti utakuwa Mhujumu nk
Lakini laiti wangekuwa wanaona yanayofanywa na yule bwana nyuma ya pazia kwa kutoa maelekezo hakika wengi wenu mtapigwa na butwaa kama sio kuzimia kabisa... Ni maajabu na unyama wa hali ya juu.. Watu wamepoteza maisha kwa stroke / BP kwa mkono wake..
Ngoja niwape kisa kimoja alichokifanya mwaka 2017.... Kuna bwana mmoja anamiliki semi trailer kama 50 hivi.. Mfanyabiashara wa muda mrefu
Sasa kulitokea mzozo wa wamiliki wa malori kipindi cha nyuma kuhusu kero za mizani kwamba kuna rushwa sana..
Lakini kulikuwa na matatizo ya faini kubwa sana wanalipishwa.. Sasa Mfalme alikuwa Waziri wa Ujenzi akawaambia faini hizo ni ndogo na akalazimisha kupitisha sheria kali sana ndogo ndogo kuhusu wamiliki wa Malori.
Huyo mfanyabiasha pamoja na wenzao wakaenda kwa Pinda kipindi hiko ni PM.. Busara ikatumika mambo yakatatuliwa mgogoro ukaisha..
Kumbe katika vikao vya usuluhishi Mfalme alimnote yule bwana kwakuwa alikuwa anatoa hoja sana ambazo yeye kama waziri alionekana anaonea..
Alipopata ufalme yule Mfanyabiashara alipata cha mtema kuni.. 2017 alinyooshwa semi trailer 10..yaani zilitaifishwa..na jamaa alikaa kimya ili awe salama.. Maana alijua nikijifanya mjuaji nitapotea humu Duniani
Safi sana!Mfalme wa Beirut alitoa amri kijana mkosoaji aletwe kwenye jumba. Haraka sana wafanyakazi wakamtafuta na kumpeleka.
Alipoingia kwenye jumba kijana akamkuta mfalme amefura mithiri ya chatu.
Ndipo mfalme kwa mkono wake akainua akamnyooshea kijana mguu wa kuku na kumpeleka peponi.
Sawa. Lkn damu yake imemlilia mfalme mpk akaenda kuzimuSafi sana!
Kale ka kijana kalikuwa kajinga