britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #321
Waliukwepesha KAMBALE MAMBA ASIUOEEti huu uzi uko jukwaa la kimataifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliukwepesha KAMBALE MAMBA ASIUOEEti huu uzi uko jukwaa la kimataifa!
Baki na mavi yako nyumbani. Aisee!Ndio nyodo hizo?
Gooo transletaSijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?
Huyu 'gavana' alikaa sana bila kupata watoto! Moa amempa watoto ili waje kurithi laana alizofanya hapa duniani na kuwa kizazi cha laana milele!Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Ndio tabia za watu waoga na wenye akili ndogo kichwani.Kumuua Ben na kujaribu kumuua Lisu ni absolutely unnecessary decisions.
Hakukuwa na ulazima!
Bado ilifaa hoja zao kujibiwa kwa hoja.
Killing is a temporary solution not permanent solutionNdio tabia za watu waoga na wenye akili ndogo kichwani.
Kwao huona kuua ndio suluhisho na ndicho walichokuwa wakifanya 'mfalme wa beirut na gavana wa Jiji'
Ya nnSijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?
Ana husikaCcTumainiel na memba mmoja humu hakika watakuwa wanajua kilichompata
Kuna uzi kaanzisha eti Janabi apewe urais wa nchi! Nimeshangaa sana.Ana husika
Mbona unafanya upolisi wangu nielekee kataviAliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
Hebu weka jina la uzi huo niufuatilieKuna uzi kaanzisha eti Janabi apewe urais wa nchi! Nimeshangaa sana.
Kwenye tukio la Trump kushambuliwa juzi nilipenda sentenso moja kwenye taarifa ya Serikali ya Marekani kwamba, "...The attacker was 'neutralized'...!" Huu msemo nimeupenda sana.Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
Hivi kwanini Prof Janabi asiwe rais wa jamhuri ya watu wa Tanzania?Hebu weka jina la uzi huo niufuatilie
Endelea kupumzika kwa amani Ben SaananeAliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
Kumbe Kabendera yupo sahihi na ni hakika.Aliibuka kijana akakosoa sana sana mpaka kukatamalaki tahamaki kwamba yule aliye kuwa mfalme wa Beirut hakuna na elimu ya sekondari, na akaenda mbali kusema kwamba ile elimu ya sekondari aliyoipata mfalme ilikuwa kubebwa na msimamizi wake,
Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Wakatumia boti ya jeshi ambayo inapaki ufukweni mwa eneo ambapo daraja ambalo litajengwa mjini humo, akafungwa na bahati nzuri magwanda yake na scaf yake alikuwa navyo,
Mvuvi mmoja wa kisiwa cha Kluseo akaeleza kwamba wakati boti ile inelekea maeneo kuliko yale mavisiwa ambayo hawaruhusiwi kuingia waliona kama kuna mtu kafungwa kwa mbali, kwa kuwa ilikuwa boti ya wazi , lakin hawakujihakikisha zaid maana ilikuwa usiku,
Baada ya week maeneo Yale wakipita walikuta shati la kamanda huyo pembeni lina damu inayoonekana ilichuruzika kutoka kwenye mdomo au puani, na hii ni kutokana na kubanwa sana na python wa eneo lile,
R.I.P kamandaa
Ila wewe ndio malaika?Hii ni hujuma. Ni hujuma dhidi ya changizo la dau la kumpata Ben Saaanane. Mleta uzi unakatisha watu tamaa ya kuchanga kwa kuwaaminisha kuwa the guy is no more! Kamezwa! Unafaidika nini hasa?
Bahati mbaya tumeingia kichwakichwa na kuona fasihi yako ina nia njema kumbe shetwani. Macho yamefunguka.
Content and timing tells everything about your intention. Kujaribu insinuate gavana Bashite na mauji hakukusafishi nia yako!
Awe amemezwa na chatu--tupeni scarf yake tukaizike, awe mmemnyonga--tupeni hata bukta yake tukaizike.
AMA KWELI SHETANI ATABAKI SHETANI