Nguo na scaf yake vilionekana kuwa na damu na maji yaliyotokea puani wakati akibanwa na python, aliyekuwa mkosoaji wa elimu ya mfalme wa Beirut

Suala ili lilionekana kumkera sana aliyekuwa gavana wa jiji kubwa hapo Beirut akaamua kuingia kazini,
Huyu 'gavana' alikaa sana bila kupata watoto! Moa amempa watoto ili waje kurithi laana alizofanya hapa duniani na kuwa kizazi cha laana milele!
 
Mbona unafanya upolisi wangu nielekee katavi
 
Kwenye tukio la Trump kushambuliwa juzi nilipenda sentenso moja kwenye taarifa ya Serikali ya Marekani kwamba, "...The attacker was 'neutralized'...!" Huu msemo nimeupenda sana.
 
Endelea kupumzika kwa amani Ben Saanane
 
Kumbe Kabendera yupo sahihi na ni hakika.
 
Ila wewe ndio malaika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…