Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah katika maisha nilijifunza kuwa kujifanya hero kuna gharama zake na wa kuzilipa ni wewe pekeako ila watakaonufaika ni wengine.Hawa magangstar wetu waliweka kwenye viroba na kutupa baharini
Huwa najua kunakuwaga na detention ya watu aina ya huyo benard eight o'clock! Pengine yuko huko ila mambo ya kusema kauliwa sidhani kama ni halisia.Mkuu britanicca yule Python alikuwa amefugwa na hao jamaa au ilikuwaje. Na je, ni kweli jamaa amepotezwa kabisa au amehifadhiwa sehemu nyeti mpaka zitimie nyakati na wakati (I.e natural death)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna rafiki yake Bashite anaitwa Sele bonge mtafute anaijua vizuri story ya ben sananeKati ya Mambo yanayofanya nikapige kura ya hasira kwa lisu ni hili uuwaji haukubaliki kabisa hasa kwa mtu inncoent Kama Ben Saanane.
Magufuli , Bashite na Ben SaananeSijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?
Natamani ingekuwa hivyo, miss sana Ben saa nane, alikuwa kijana smart mpambanaji asie na bei kumtumikia kafiri.Huwa najua kunakuwaga na detention ya watu aina ya huyo benard eight o'clock! Pengine yuko huko ila mambo ya kusema kauliwa sidhani kama ni halisia.
Hata enzi za hayati Ben William naskia kuna mumaza alikuwa anataka kuharibu hali ya hewa akatiwa katika jumba la dhahabu for hardly 10 years mpaka jamaa alipotoka madarakani wakam release.
Ataachiwa tu mwisho wa Regime hiiNatamani ingekuwa hivyo, miss sana Ben saa nane, alikuwa kijana smart mpambanaji asie na bei kumtumikia kafiri.
Huwezi kuelewa kwa sababu una kichwa cha panzi!Sijaelewa mkuu. Aliyeelewa anisaidie. Au nina chuki binafsi?
upumbavu wako peleka kwa mke wako ben auliwa jumba jeupe na msema mkweli mpenzi wa mungu ambaye kila siku anasema ataenda mbinguniHuwa najua kunakuwaga na detention ya watu aina ya huyo benard eight o'clock! Pengine yuko huko ila mambo ya kusema kauliwa sidhani kama ni halisia.
Hata enzi za hayati Ben William naskia kuna mumaza alikuwa anataka kuharibu hali ya hewa akatiwa katika jumba la dhahabu for hardly 10 years mpaka jamaa alipotoka madarakani wakam release.
KAFA BWANA WEWE KAFAYA MEKO ALIPIGA RISASI KWA MKONO WAKE LABDA KAMTAFUTE RASHID GWAJIMA STAR LA XVIDEOS NA PORN HUB LIKAMFUFUEAtaachiwa tu mwisho wa Regime hii
Ukiambiwa ulete ushahidi wa unachoongea mbele ya TCRA na kamanda Muroto utaweza kuleta au ndio utategesha kisura cha huruma ukitegemea tuchange 200/200 zetu tukuwekee dhamana.upumbavu wako peleka kwa mke wako ben auliwa jumba jeupe na msema mkweli mpenzi wa mungu ambaye kila siku anasema ataenda mbinguni
Mdomo uliponza KichwaKAFA BWANA WEWE KAFAYA MEKO ALIPIGA RISASI KWA MKONO WAKE LABDA KAMTAFUTE RASHID GWAJIMA STAR LA XVIDEOS NA PORN HUB LIKAMFUFUE
Ndio maana kalikimbia hilo jumba jeupe?upumbavu wako peleka kwa mke wako ben auliwa jumba jeupe na msema mkweli mpenzi wa mungu ambaye kila siku anasema ataenda mbinguni