Nguo ya Ndani ya Mpenzi Wako..Mx

Nguo ya Ndani ya Mpenzi Wako..Mx

Hahahahaah. . . . Nimekusoma somo. Ngoja niendelee na harakati za kujiremba.

kweli watz waoga wa hesabu yani moja mpaka kumi unatumia 3 weeks...,halafu nina swali jamani kwanini siku hizi "underskirt" zimekua haba sana maungoni mwa wadada?nini kimetokea mpaka hatuvai "underskirt"
 
na je kuvaliana bikini au dizaini yeyote na boyfriend wako au mume wako imekaaje hii?inaonesha ankupenda sana au hila?
 
kweli watz waoga wa hesabu yani moja mpaka kumi unatumia 3 weeks...,halafu nina swali jamani kwanini siku hizi "underskirt" zimekua haba sana maungoni mwa wadada?nini kimetokea mpaka hatuvai "underskirt"

Mbona nilishamaliza kuhesabu somo? Nipo raundi ya tatu sasa.

Hhhhm labda kwasababu nguo nyingi zinajitosheleza kwa vitambaa vya ndani. Nyingine zinabana kiasi kwamba mtu akivaa underskirt isiyoshika mwili vizuri atakua kituko.
 
Habari Zenu wana MMU!!nimeona leo nizame pande hizi kwanza tujuzane maujanja ya Mahusiano cunajua tena mapenzi yana kimbiza dunia...au sio?..sema ndiyo basiii....!hata kujibu shida kah!haya bwana I hope kuna baadhi yetu tunawapenzi na wachumba hata wake piya mnao hata wanaume zenu japo wengi wana Jf wameweka wako Singre..leo nataka tuongee kitu kimoja..Wapendanao wengi hukerwa na rangi za ndani za wapendwa wao but huwa wanashindwa kuwaambia aina ya rangi ambazo wangependa zivaliwe na Wapenzi wao..vipi wewe wakwako unajua rangi uipendayo?..na wewe wajua apendayo?..hebu funguka basi rangi hiyo...ma side na penda Mpenzi wangu akivaa chupi ya rangi ya Pink na Nyeupe...rangi hizo nazipenda sana...Mx

Sasa hujatuambia kama mi na asali wangu ambao hatuvai hivyo vitu ulivyoviorodhesha hapo juu kama tunaruhusiwa kuchangia chochote. Nadhani nimevamia uzi usituhusu. Samahani nasepa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nyeupe utamfulia?
Au unapenda zinavyong'aa tu bila kujua zinahitaji usafi wa hali ya juu?

Kwa nini mnavifungia? Siyo vizuri kuwanyima raha. Waache wapate 'aeration' (hewa safi). Chukulia wewe ungekuwa K au U halafu unawekwa jela, utajisikieje? Nadhani siku hiyo utakuwa na cha kumwambia hakimu. Oooooo! Unajua nilishawahi kuangukiwa na nazi, ooooo! Mguu wangu wa 3 mfupi n.k
 
Back
Top Bottom