Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

Nguo ya rangi gani ambayo huwezi vaaa?

huwa ni rangi mzuri zimepoa
Umeona zilivo unyamaa
images.jpeg
 
watu wanaoandika kwamba hawavai kijani na nyekundu nawashangaa!,hizi rangi ktk rangi si kwamba ni mbaya ni vile hujajua kunasa kijani ipi ama nyekundu ipi!..
kuna kijani kama inaelekea kuwa nyeusi hivi na haijakolea ni outfit nzuri labda tu usijue namna yakujipangilia so unakuta mwanaume umevaa jeans yakijani! WTF hii inafaa zaidi kuwa nguo ya juu halafu chini vaa kitu cheusi it's cool..
hivyohivyo kwenye nyekundu usichukue nyekundu iliyokoza zipo zile wanaita damu ya mzee that cool!,nayo pia inapendeza iwe ya juu sio utuvalie chini WTF!.

ikitokea ukavaa nguo ya chini kati ya hizo mbili my friend heri ukachagua kijani hiyo niliyoiandika na piga ua vyema ikawa pensi!!. hapo kwa juu ukila mtisheti wako mweusi mkubwa mkubwa hivi halafu ka night fulani unaenda kula gambe lako fresh nothing to worry!.

kuna rangi unaweza kweli ukasema ni mbaya lkn inategemea umeikuta ktk namna ipi imekolea ama haijakolea!,rangi ambazo siwezi kuvaa ni zile ambazo zinawaka sana!..
 
umechambua vizuri sana
 
Back
Top Bottom