Nguo za harusi(mashela, suti, viatu, maua,pete,gloves) Kwa bei nafuu kabisa, karibuni

Edinam

Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
97
Reaction score
38
Ninakodisha magauni ya harusi ndani ya Dsm na nje ya mkoa wa Dsm.Pia nina suti,viatu,pete,gloves na maua ya Bibi harusi ya kushika mkononi. Na vitu vingine bingo vya maharusi. Kuanzia mwezi wa 10, 2020 kutakuwa na promotion/Bei punguzo.Bei za kukodisha magauni ni kama ifuatavyo.

1) Mamaid 200,000/= ya kawaida na yenye mkia nyuma.
*Bei punguzo kuanzia mwezi wa 10 Ni 150,000/-
2)Sindelela 150,000/=
*Bei punguzo itakuwa 100,000/-

3)Tausi (yenye mkia wa kuvuta nyuma) 200,000/=
*Bei punguzo itakuwa 150,000/-
Suti tunauza 180,000 Ikiwa full( maana yake Inajumlisha shati na tai). Maua ukikodi ni 10,000/- Pete zipo za aina mbalimbali.Viatu vya Bibi harusi 30,000/- mikufu, Pete n.k

Tunapatikana Njiapanda ya Segerea(Ukonga) karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Nyerere.Karibuni sana
Mawasiliano: 0689188395 na 0621940590(whatsApp)

TView attachment 1078586
 

Attachments

  • HTB1tzHHFpmWBuNjSspdq6zugXXas.jpg_640x640xz.jpg
    60 KB · Views: 97
  • HTB1QqwSPpXXXXc5XpXXq6xXFXXXl.jpg_640x640xz.jpg
    44.2 KB · Views: 144
  • IMG-20190314-WA0000.jpg
    44 KB · Views: 163
  • 11097839_6_675x900.jpg
    32.5 KB · Views: 143
  • HTB1tzHHFpmWBuNjSspdq6zugXXas.jpg_640x640xz.jpg
    60 KB · Views: 112
  • IMG_20180814_185817.jpg
    103.2 KB · Views: 113
  • IMG-20181011-WA0009.jpg
    38.3 KB · Views: 128
Karibuni Sana wapendwa, Bei zimepungua kwasasa, njooni tuongee na upendeze kwenye shughuli yako.
 
Kwa kipindi hiki Cha Corona tunajua wengi hatuna pesa hivyo tunamsikiliza mteja kike alichonacho na jinsi gani tutasaidiana ili Mambo yaweze kwenda. Kwahiyo, karibu Sana kwa huduma Bora na za uhakika.
 
Vitu vingi vya maharusi vimekuja wahi sasa kwa Bei Chee kabisa
 
.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…