Ninakodisha magauni ya harusi ndani ya Dsm na nje ya mkoa wa Dsm.Pia nina suti,viatu,pete,gloves na maua ya Bibi harusi ya kushika mkononi. Na vitu vingine bingo vya maharusi. Kuanzia mwezi wa 10, 2020 kutakuwa na promotion/Bei punguzo.Bei za kukodisha magauni ni kama ifuatavyo.
1) Mamaid 200,000/= ya kawaida na yenye mkia nyuma.
*Bei punguzo kuanzia mwezi wa 10 Ni 150,000/-
2)Sindelela 150,000/=
*Bei punguzo itakuwa 100,000/-
3)Tausi (yenye mkia wa kuvuta nyuma) 200,000/=
*Bei punguzo itakuwa 150,000/-
Suti tunauza 180,000 Ikiwa full( maana yake Inajumlisha shati na tai). Maua ukikodi ni 10,000/- Pete zipo za aina mbalimbali.Viatu vya Bibi harusi 30,000/- mikufu, Pete n.k
Tunapatikana Njiapanda ya Segerea(Ukonga) karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Nyerere.Karibuni sana
Mawasiliano: 0689188395 na 0621940590(whatsApp)
View attachment 1078606View attachment 1078609View attachment 1078624View attachment 1078626View attachment 1078629View attachment 1078632
T
View attachment 1078584View attachment 1078586