mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Wakuu heshima yenu. Wakuu naomba kuwasilisha nia yangu katika harakati zangu za kuwa tajiri maana ndio ndoto yangu kubwa.
Nina duka la ngo dodoma. Naiza nguo za kiume special kwa rejareja. Nimekua kwenye biashara mwezi wa saba sasa. Nauona mwanga ulee, kiufupi hali ni nzuri, very promising. Nilianza nikiwa mdogo sana ila kwa miezi saba sasa naiona hatua nilio ipiga.
Wakuu nakuja kwenu, nikijua humu kuna watu wa aina mbalimbali. Nia na dhumuni langu kwa sasa ni kutanua biashara yangu either nifungue duka lingine la rejareja au nianze kuuza jumla na rejareja.
Ili nifanikishe haya yote yanahitaji mzigo kwa maana ya investment mpya. Sasa nikawaza siwezi kupata connections za madon wa kkoo huwa nasikia pale kuna madon wanashusha mzigo mkubwa kutoka China ukikaa nao vizuri wanaweza kukukopesha mzigo ukauze uje mlipe.
Lengo langu hilo nipate connections za watu wa aina hio, nipo tayari kuingia nao mikataba ya kisheria hata kuweka dhamana.
Nawasilisha wakuu...