LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,209
Wanajamvi kuna hii ki2 naomba 2shee kama inaukweli au laa.
Yasemekana kuwa uvaaji wa nguo za ndan za kubana sana kwa wanaume husababisha matatizo ya nguv za kiume pamoja na tatizo la uzalishwaji wa mbegu za kiume.
Yasemekana kuwa uzalishwaji wa mbegu za kiume hufanyika kwa ufanis zaidi ktk kiwango maalum cha joto,ndiyo mana kuna mda utakuta korodan zimesinyaa,hapa huwa zinajibana mwilin ili ziweze pata joto vizur huu huwa msim wa barid.Na wakati wa joto huwa zinatepeta na kujiachia automatic.
Inasemekana kuwa mbegu za kiume huwa zinazalishwa vizur ktk hali ya ubarid ,hivyo kama utakuwa unavaa boxer,bukta au taiti mda wote bas uzalishwaji huu huwa duni sana kwa kuwa mda wote korodan utakuwa umezibana na mwili hata wkt wa joto,hivyokupelekea kutozalishwa kwa mbegu hizo.
Vilevile kuibana mboo mda wote hupelekea misuli ya mboo kulegea na kuwa cyo imara tena.
Mda mwingine mboo inataka kusimama lkn kwakuwa umeibana sana hupelekea misuli ya mboo kuishiwa uimara wake na kulegea.
Je ni kwel twaweza hangaika kutafuta mchawi nani na huku twajiloga wenyewe??
Je kuna ukwel juu ya haya??
Karibun wanajamv wenye utaalam zaid watujuze.
...........Nawasilisha............