Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuvaa vazi la kulalia hasa kwa mwanamke, umuwezesha mwanaume aliyenaye chumbani kutokumchoka.
Mwanamke anayevaa vazi la kulalia (night dress), humuongezea thamani katika mahusiano yake. Kuvaa vazi hilo, lenye kuchora umbo la mvaaji, lenye matirio ya kuteleza, na liwe na rangi nzuri ya ushawishi; umchochea mwanaume kuendelea kumtamani mwanamke husika, pamoja na kuimarisha nguvu za kibaba.
Pia, hupunguza migogoro isiyokuwa ya lazima katika mahusiano. Kwa sababu, mwanaume akiliona tu hilo vazi namna lilivyositiri mwili wampenzi wake, anakuwa hana nguvu za kupiga makelele. kwa sababu, ubongo unakuwa umevurugwa.
Kuvaa vazi hilo usiku lina taratibu zake; hutakiwi kuwa na nguo nyingine kwenye mwili wako zaidi ya hilo vazi tu, na pia hilo vazi halipigwi pasi.
Ule utaratibu wa kutumia kanga au kitenge kama mbadala kwa nguo za kulalia usiku, tunatakiwa tuachane nao, ili kuboresha mahusiano katika uchumba, ndoa, pamoja na kuzeeka pamoja.
Usipofanya hivyo, jiandae kwa kuachika.