M mama wa wili Member Joined Jun 10, 2014 Posts 40 Reaction score 6 Sep 28, 2014 #1 Wadao naomba mnijuze kwa anaefaham , je! Ni mitumba ya nchigani ambayo ni mizuri kwa kuuza? Plz!
J JOSEPH BANKWA Member Joined Jan 23, 2014 Posts 6 Reaction score 1 Sep 28, 2014 #2 Mitumba ni mitumba tu,hata iwe ya Tz,siyo mbaya wadau watanunua tu.
M mama wa wili Member Joined Jun 10, 2014 Posts 40 Reaction score 6 Sep 29, 2014 Thread starter #3 Ok.asante.
R rich seaker Senior Member Joined Sep 9, 2014 Posts 135 Reaction score 43 Sep 29, 2014 #4 Mitumba mingi iwe mizur au mibaya mara nying naona inatoka china na thailand naona ina grade zake hyo mitumba so china mkuu
Mitumba mingi iwe mizur au mibaya mara nying naona inatoka china na thailand naona ina grade zake hyo mitumba so china mkuu
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,610 Sep 29, 2014 #5 mama wa wili , usithubutu kununua mitumba kutoka china wala thailand. Mitumba classic inatoka UK, USA, Canada, Japan na Germany Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mama wa wili , usithubutu kununua mitumba kutoka china wala thailand. Mitumba classic inatoka UK, USA, Canada, Japan na Germany
M mama wa wili Member Joined Jun 10, 2014 Posts 40 Reaction score 6 Sep 29, 2014 Thread starter #6 Ok, asante sana nimekupata .ntafanya hivyo@ Mchunguzi huru