Nguo za Mitumba

Nguo za Mitumba

mama wa wili

Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
40
Reaction score
6
Wadao naomba mnijuze kwa anaefaham , je! Ni mitumba ya nchigani ambayo ni mizuri kwa kuuza?
Plz!
 
Mitumba mingi iwe mizur au mibaya mara nying naona inatoka china na thailand naona ina grade zake hyo mitumba so china mkuu
 
mama wa wili , usithubutu kununua mitumba kutoka china wala thailand. Mitumba classic inatoka UK, USA, Canada, Japan na Germany
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom