Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Ndio unajiita kibonge mwepesiSi ndio🤣🤣🤣
Ndio unajiita kibonge mwepesiSi ndio🤣🤣🤣
mpishi chukua oda hiyo ya kisinia cha makandeNapenda makande yasiyo na maharage mengi kama hivi, sema umenyima karoti
Zilikuwa chacheNapenda makande yasiyo na maharage mengi kama hivi, sema umenyima karoti
Nishaichukuampishi chukua oda hiyo ya kisinia cha makande
Una cha kunifanya?Mwana kulifind endelea
Dipresheni zinadumaza kumbe!!Sijui hata labda kwa sababu ya dipresheni
Hapana.Ndio unajiita kibonge mwepesi
Unajiitaje ukiachana na dipreHapana.
Njoo pm unioneDipresheni zinadumaza kumbe!!
SiemiUna cha kunifanya?
Kojoa ukalale toto sawaSiemi
Najiuta mwalimu.Unajiitaje ukiachana na dipre
Mbona sikuoni?Njoo pm unione
UnajiitaNajiuta mwalimu.
Hivi kwani dipre najiita au unaniita🤣
Hunionije sasaMbona sikuoni?
Akuuuu!Unajiita
Si kwa macho!Hunionije sasa
We naeSi kwa macho!
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa mbona hunioneshi?We nae
Njoo piemu🤣🤣🤣🤣🤣 sasa mbona hunioneshi?