Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhNguo za mtumba za watoto anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda kuuza nipate angalau faida kidogo.
Nimeona untak mzigo cheap mkuu kwa Nn uschukue za kuchagua ukapige mishindo na misondo ya maanaVipi mzee? [emoji847][emoji847][emoji847]
0754514915Weka number tuwasiliane kama itafanyika biashara au lah.....
Mi ni mwenyeji sana tu, nimetaka kumuunga aliye huku, nachukuliaga mzigo ilala.0754514915
Utatumia hii namba mkuu ,Na wote wanaohitaji mizigo ya bei rahisi kwa mtumba wa watoto karibuni sana napatikana manzese na ilala.
Nguo za jumla bei zangu ni kuanzia 500 - 1000 kwa mzigo wa kushusha (wenyeji wa mtumba mtakua mmenielewa hapa)
Kwa mzigo uliopoa ni 300 tu kwa nguo moja