Kibunago
JF-Expert Member
- Jan 11, 2008
- 300
- 122
Ingawa kunakosekana kipimo nyeti cha hali ya kupambana na Umaskini;
Ingawa baadhi ya Takwimu zaweza kuwa ni za miaka miwili nyuma;
Ingawa, kipimo na vigezo vyake bado vinaendelea kuboreshwa;
Ingawa katika 10 bora hatumo, bado tunaweza kusimama kichwa juu na kusema katika 20 bora wa Mo Ibrahimu tumo!
Na kama yangekuwa ni matokeo ya Wanafunzi wa EAC basi, sisi tunatangulia na wenzetu wanatufuata!
Kumbuka kuwa, Takwimu kama nguo za ndani hufunulia kadamnasi fununu tu, kinachofichika katika Takwimu ni muhimu zaidi.
REF:
http://www.moibrahimfoundation.org/en/section/the-ibrahim-index/scores-and-ranking