Nguo za ndani- eac

Nguo za ndani- eac

Kibunago

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2008
Posts
300
Reaction score
122
Ingawa kunakosekana kipimo nyeti cha hali ya kupambana na Umaskini;

Ingawa baadhi ya Takwimu zaweza kuwa ni za miaka miwili nyuma;

Ingawa, kipimo na vigezo vyake bado vinaendelea kuboreshwa;

Ingawa katika 10 bora hatumo, bado tunaweza kusimama kichwa juu na kusema katika 20 bora wa ‘ Mo Ibrahimu’ tumo!

Na kama yangekuwa ni matokeo ya ‘Wanafunzi wa EAC ‘ basi, sisi tunatangulia na wenzetu wanatufuata!

Kumbuka kuwa, Takwimu kama nguo za ndani hufunulia kadamnasi fununu tu, kinachofichika katika Takwimu ni muhimu zaidi.


REF:
http://www.moibrahimfoundation.org/en/section/the-ibrahim-index/scores-and-ranking
 

Attachments

  • Matokeo ya Wanafunzi wa EAC.JPG
    Matokeo ya Wanafunzi wa EAC.JPG
    33.3 KB · Views: 51
  • Africa Top Twenty.JPG
    Africa Top Twenty.JPG
    22.1 KB · Views: 62
Labda maswali menngine muulizeni Salim Ahmed Salim ambaye ni board member wa Mo Ibrahim Foundation.
 
Back
Top Bottom