Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Nguo za ndani unafua saa ngapi?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?

Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile nyeupe huwa ninaloweka na omo. Ninaanikia hukohuko bafuni nimenunua ile rail ya kuanikia nguo ni special kwa vyupi.

-------------------------------
Baadhi ya Michango

Jumamosi nafua na kuanika nje
 
tatizo mimi mkuu sijawahi kuvaa 'Nyupi'
Kwahiyo hata ufuaji wake siujui!
 
tatizo la chupi kwa Mwanaume ukishaanza kukua... Sehemu za siri zitaanza kutokezea pembeni.

nyie zinawatoshea vizuri.
Si kweli, kwa ke vyupi sehemu moja hupita ktkt ya mto yaani upande mmoja huwa imekaa tenge[emoji12]
 
Back
Top Bottom