Nguo za ndani za mitumba: Mkombozi wa maskini, msambaza magonjwa!

Nguo za ndani za mitumba: Mkombozi wa maskini, msambaza magonjwa!

Hahahaa daddy kwenye hilo suala na duka atafunga tu kwa kweli. itabidi tu yeye mwenyewe akusifie au utasubiri ufike home wifi akusifie. Hizo habari ni mwiko kwa daddy

Navyo mjua anavyopenda hela hawezi kufunga, itabidi afanye hata kuajiri mtu wa kusave watu wa jinsia ya kiume ili tu asipoteze wateja, aache mambo ya kuwatumia family mbembers kwenye biashara ikibidi.

Maana mimi eti nisifiwe na mwanaume mwenzangu eti kifuniko kimenipendeza haipo kamwe, na habari ya kurudi mpaka home wife aniambie kibaya nikirudishe tena ni kupoteza muda.

Kwa hiyo inabidi daddy Kaboom atutafutie mtu wa kutupima.
 
Hahaha tumeupokea ushauri wako mpendwa, tunamtafuta mtu wa kuwapima
 
Msichelewe maana leo ninataka kupita hapo kabla hii helaaa haijaisha.

Akikosekana itabidi umwombe daddy akukubalie unipime, mara moja tu na haitajitokeza kwa wateja wengine.
Hahaha ngoja aje, nafikiri atakupa jibu amazing
 
Teh teh..Uje na mpnz wako akuthaminishe..Mteja wa kiume kwangu sio mfalme

Mimi pia naogopa kuja naye asije siku nyingine akaja kununua peke yake.

Maana wengine kazi zetu ni za kusafiri safiri, unaweza kuta siku anataka kununua mimi nimesafiri halafu ikawa shida.
 
hivi bado kuna watu wanavaa vyupi vya mtumba?
 
Back
Top Bottom