T Takisha jolly Member Joined Feb 4, 2018 Posts 27 Reaction score 20 Aug 24, 2022 #1 Hello Poleni na majukumu Mimi nauza nguo za watoto za kike na za kiume kuanzia miaka 0-6 bei ni kuanzia tsh 1, 000 napatikana dar goba kwa mawasiloano karibu sana PM.
Hello Poleni na majukumu Mimi nauza nguo za watoto za kike na za kiume kuanzia miaka 0-6 bei ni kuanzia tsh 1, 000 napatikana dar goba kwa mawasiloano karibu sana PM.
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,773 Reaction score 51,429 Aug 24, 2022 #2 Hicho cheusi kinatamanisha kupata mtoto wa kike
mzado JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 1,023 Reaction score 1,532 Aug 24, 2022 #3 Nguo nzuri, tuanze na hicho cheusi pamoja na nguo za mtoto wa kike yupo kwenye miaka mitatu, bei na napataje kwa mteja wa mkoani kanda ya ziwa.
Nguo nzuri, tuanze na hicho cheusi pamoja na nguo za mtoto wa kike yupo kwenye miaka mitatu, bei na napataje kwa mteja wa mkoani kanda ya ziwa.