Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana.Hawa jamaa wanaisaka shilling kwa namna yoyote Ile,
Sijui wanaabudu mungu wa Aina gani wale[emoji848]
Yakemee yasifike huku, tubaki tunakula naturalAiseeehhh!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]!!
Wanaume hatupendi vitu fakeMakubwa haya kazi kwenu wanaume
Kabisa yani!!Yakemee yasifike huku, tubaki tunakula natural
Dadeq tumekwishaaaa[emoji35]Wachina hawaishiwi mambo,
Kuanzia enzi za Kwenye kope feki, matiti feki, mimba feki, kucha feki, tako feki, hips feki, miguu feki, macho feki,nywele feki.
Sasa Ni awamu ya UKE FEKI.
Ikiwa Ni mwaka mmoja TU tangu wazindue teknolojia ya ngozi feki (body silicon skin).
Wakahamia Kwenye nguo zinazofanana na ngozi (body silicon cloth)
Sasa
Wachina Tayar washatengeneza nguo mpya za kike (body silicon cloth) zikiwa na sehemu ya uke pamoja na sehemu ya kukojolea.
Ambapo mvaaji hatohitajika kuivua atakapohitajika kufanya tendo la ndoa au kujisaidia haja kubwa wala haja ndogo[emoji116]
Nguo hizi Zinasehemu maalum ya kuingiza uume ambapo pametengenezewa mazingira sawa sawa na uke halisia.
Sehem hii ya Siri imetengenezwa kwa silicon maalum ambayo utoa Ute laini pindi kunapotokea msuguano.
Nguo hizi zinapatikana katika size tofauti tofauti,
Kuanzia chupi, tight fupi mpaka tight ndefu na zipo pia za mwili mzima.
Pia zinapatikana katika rangi tofauti tofauti kulingana na ngozi na matakwa ya mvaaji mwenyewe.
My take:
Kuna hatari kubwa ya Wanaume wengi kutapeliwa kwa kupewa tendo kwa kutumia uke feki bila wao kufahamu.View attachment 2042803View attachment 2042805View attachment 2042806View attachment 2042807View attachment 2042809
Kila mahali wanaongozaHasa kina mama na kinadada