Nguo zilizochanika ni fasheni au?

Nguo zilizochanika ni fasheni au?

[emoji15] [emoji15] raia watavaa tu
Nadhani ndio lengo la Serikali kuzuia mitumba kwakuwa hatuna vazi la taifa lenye kututambulisha ndani na nje ya nchi hili tujing'arishe na hii midabwada.[emoji124]
 
Hiyo ndo safar ya watu mbeleni kutembea na boxer au vichupi eti fashion. Jaman huyu shetani katushika pabaya hasa akisaidiw na hawa wasanii,waingizaji etc (Mind Controllers) .Ee Mungu kushike mkono na kutuongoza ktk njia zako za haki

Hata dini ni mind controllers
 
%kubwa ya wavaaji wa hizo ngua nao utakuta vichwa vyao vimechanika kama c kutoboka toboka..
 
Back
Top Bottom