Ngurudoto Hotel ni kweli imekuwa Hostel ?

Ngurudoto Hotel ni kweli imekuwa Hostel ?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Habari za kuzinduka !
Wadau nimekuwa naona comments za wadau wakidai Ngurudoto Hotel imekuwa Hostel za wanafunzi jqmbo ambalo binafsi nimekuwa mgumu kuamin ukizingatia sinq access ya kufqnyq prove kwa kwenda Arusha.

Bac kama ni kweli I hope kama juna wanafunzi aliye bahatika kupata room hapo bac embu athibitishe walau atupie Tupicha ya izo room za hostel.

Note : Jambo hili lina leta ukakasi kuqmini kirahisi
 
Ngurdoto ni hotel kubwa yenye eneo ambalo ni sawa na mtaa na kuna nyumba nyingi nyingi zenye hadhi tofauti tofauti. Kwaiyo yawezekana uongozi wa chuo uliomba baadhi ya nyumba ambazo hazitumiki kwa sasa, wazitumie kama kama hostel.
 
inasikitisha sana kwani uongozi wake umeshindwa hata kuibinafshisha kwa makampuni makubwa hata ya kenya namaanisha wakenya ni werevu sana kwenye sekta ya hotel nadhali uongozi umeshindwa kuchambua mambo ipasavyo au wangeikodisha kama hotel kwa bei hata ndogo tu wasubiri awamu hii imalize muda wake maana watakapokuja kuifanyia service tena kwa ajili ya hotel itawagharimu sana waelewe awamu hii i
tapita tu
 
Hivi herufi q ndiyo m'badala wa herufi a siku hizi?
 
Hapo nakumbuka kuna miaka fulani ukuta wa wa uzio ulikua umekula barabara iendayo Arusha national park ambapo ulikua umesababisha kona kali ukiwa unatokea arumeru juu

Ukuta huo ulikua haugusiki kwasababu awamu hizo zilikuwa ni za unajua mimi ni nani?

Naambiwa hapo maraisi kadhaa wamewahi kuvunja ubavu na viongozi wengine wakuu ila sasa duh awamu hii kila mtu anaisoma namba
 
Mkuu ni kweli cheki hapa watoto wa IAA wanajibaraguza ndan ya room za hotel, View attachment 1641974
Haya ni matumizi mabaya hasa pale watoto wa mwaka wa kwanza wanapopewa hivyo vyumba kwani hata baadhi ya vifaa hawajui kuvitumia. Wangepewa wanafunzi wa Master na PHD ingeleta maana zaidi.

Hayo maamuzi ya kubadili matumizi ni ya Serikali au Wenye Hotel?
 
Haya ni matumizi mabaya hasa pale watoto wa mwaka wa kwanza wanapopewa hivyo vyumba kwani hata baadhi ya vifaa hawajui kuvitumia. Wangepewa wanafunzi wa Master na PHD ingeleta maana zaidi.

Hayo maamuzi ya kubadili matumizi ni ya Serikali au Wenye Hotel?
Wenye masters wangapi watu wanataka kunusuru uchumi wao unaenda kuanguka. Baada ya hapo hata sisi madreva bodaboda tutapata vyumba ikiwa trend itaendelea ama kuzidi hivi ilivyo sasa
 
Wenye masters wangapi watu wanataka kunusuru uchumi wao unaenda kuanguka. Baada ya hapo hata sisi madreva bodaboda tutapata vyumba ikiwa trend itaendelea ama kuzidi hivi ilivyo sasa
Kwa mwenendo huu vyumba vya TZS 30,000 huku mjini katikati inabidi vishushwe bei maana kama Ngurdoto chumba ni TZS 1,600,000 kwa mwaka kwanini huku mjini katikati walangue hivyo?
 
hao wanafunzi watolewe tu huko kwa viboko tena kuna hilo moja nimeona kwenye clip linaruka ruka hapo na miguu imejaa vumbi cjui likikutana na hiyo shuka inakuaje
 
inasikitisha
Hakika inasikitisha jqpo kuna gqzeti nimesoma online, wenye hotel wana sema vyumba vikivyo tolewa ni ambavyo vina muda mrefu havija wahi kutumiwa na wateja lkn hakika ni matokeo yq covid 19
 
Back
Top Bottom