Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wakenya watawapata wapi watu wa kuwalaza huko hotelini? Kwani kwa sasa kwa huo werevu wa wakenya hotel zao huko kenya zimejaa watalii?inasikitisha sana kwani uongozi wake umeshindwa hata kuibinafshisha kwa makampuni makubwa hata ya kenya namaanisha wakenya ni werevu sana kwenye sekta ya hotel nadhali uongozi umeshindwa kuchambua mambo ipasavyo au wangeikodisha kama hotel kwa bei hata ndogo tu wasubiri awamu hii imalize muda wake maana watakapokuja kuifanyia service tena kwa ajili ya hotel itawagharimu sana waelewe awamu hii i
tapita tu
Hakuna kitu kibaya kama ufinyu wa akili... Tutaendelea kumkumbuka Lowasa aliposema vipaumbele 3 ni elimu, elimu na elimu...Hakuna cha ukakasi hapo mkuu,
Hotel to Hostel, Tutarudi mule mule nyumba ya kulala wageni..
Kwa hiyo wamejenga majumba meengii unnecessarily kiasi kwamba yamekosa watumiaji? Au ni biashara ime shrink big time?Ngurdoto ni hotel kubwa yenye eneo ambalo ni sawa na mtaa na kuna nyumba nyingi nyingi zenye hadhi tofauti tofauti. Kwaiyo yawezekana uongozi wa chuo uliomba baadhi ya nyumba ambazo hazitumiki kwa sasa, wazitumie kama kama hostel.
Mkuu umewahi hata kuendesha mgahawa au mama lishe? Unamfahamu owner wa hiyo hotel?inasikitisha sana kwani uongozi wake umeshindwa hata kuibinafshisha kwa makampuni makubwa hata ya kenya namaanisha wakenya ni werevu sana kwenye sekta ya hotel nadhali uongozi umeshindwa kuchambua mambo ipasavyo au wangeikodisha kama hotel kwa bei hata ndogo tu wasubiri awamu hii imalize muda wake maana watakapokuja kuifanyia service tena kwa ajili ya hotel itawagharimu sana waelewe awamu hii i
tapita tu
somebody #masawe mushi nimesahau jina lake ni mtu tajira sana lakini kila kitu wakati mwingine akili huchoka hivyo ni hekima kuwapa wengine au investor ambao pengine wana link ya wageni moja kwa moja kutoka nje hizi mambo ya kuokota okota wageni huku na kule wakati mwingine huwa ngumu sana kwa tanzania hiiilivyo ngumu ni lazima uwe na wageni kabisaMkuu umewahi hata kuendesha mgahawa au mama lishe? Unamfahamu owner wa hiyo hotel?