luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hawa watoto dawa yao ni kuwapiga pipe tuMkuu ni kweli cheki hapa watoto wa IAA wanajibaraguza ndan ya room za hotel, View attachment 1641974
Lol salaaaleee hii kushnei kabisaaaMkuu ni kweli cheki hapa watoto wa IAA wanajibaraguza ndan ya room za hotel, View attachment 1641974
Haya ni matumizi mabaya hasa pale watoto wa mwaka wa kwanza wanapopewa hivyo vyumba kwani hata baadhi ya vifaa hawajui kuvitumia. Wangepewa wanafunzi wa Master na PHD ingeleta maana zaidi.Mkuu ni kweli cheki hapa watoto wa IAA wanajibaraguza ndan ya room za hotel, View attachment 1641974
Wenye masters wangapi watu wanataka kunusuru uchumi wao unaenda kuanguka. Baada ya hapo hata sisi madreva bodaboda tutapata vyumba ikiwa trend itaendelea ama kuzidi hivi ilivyo sasaHaya ni matumizi mabaya hasa pale watoto wa mwaka wa kwanza wanapopewa hivyo vyumba kwani hata baadhi ya vifaa hawajui kuvitumia. Wangepewa wanafunzi wa Master na PHD ingeleta maana zaidi.
Hayo maamuzi ya kubadili matumizi ni ya Serikali au Wenye Hotel?
Kwa mwenendo huu vyumba vya TZS 30,000 huku mjini katikati inabidi vishushwe bei maana kama Ngurdoto chumba ni TZS 1,600,000 kwa mwaka kwanini huku mjini katikati walangue hivyo?Wenye masters wangapi watu wanataka kunusuru uchumi wao unaenda kuanguka. Baada ya hapo hata sisi madreva bodaboda tutapata vyumba ikiwa trend itaendelea ama kuzidi hivi ilivyo sasa
Acha wafurahie. Ila mtaani kunawasubiri. Ndiyo wataelewa why hoteli ya kitalii imekuwa hosteli.They can not imagine why hotel imekuwa hosteli ?Mkuu ni kweli cheki hapa watoto wa IAA wanajibaraguza ndan ya room za hotel, View attachment 1641974
Ni vile haiwaumi. Hawakujenga wao.Baba yao atakuwa anabiringita humo kaburini.Kutoka chumba cha mil 1 kwa siku hadi laki 4 kwa mwaka .
Uchumi wa kati huoKutoka chumba cha mil 1 kwa siku hadi laki 4 kwa mwaka .
Hakika inasikitisha jqpo kuna gqzeti nimesoma online, wenye hotel wana sema vyumba vikivyo tolewa ni ambavyo vina muda mrefu havija wahi kutumiwa na wateja lkn hakika ni matokeo yq covid 19inasikitisha