Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

Andiko zuri sana, nilijisikia vibaya sana alivyo msimamisha mama mmoja akamsifia kua ni profesa ila ana kansa na amekatwa titi moja.
Kwakweli!!!!

Nampenda saaana Rais wangu lakini kuhusu kumsimamisha huyo mama kwanba amekatwa ziwa moja kutokana na cancer, daaaaaaahhh!!!!. Na inawezekana watu wengine pamoja na kwamba anaimba nao kwaya walikuwa hawajui kwamba amekatwa ziwa moja.

Anyway, hata Mh. Rais wangu mpendwa ni binadamu tumsamehe na tuzidi kumuombea roho ya hekima ili atuvushe salama.
 
Mnahangaika sana aisee!

Hadi 2025 mtaendelea kubwabwaja juu ya Magu na corona alafu mkipigwa kwenye uchaguzi mnaanza kulalama.
 
Tumeisikiliza hotuba vizuri,hakuna mahala ambapo anawaswaga na kuwapelekesha mapadre na maaskofu katoliki. Rais ametoa tahadhali juu ya kutumia barakoa zinazostahili.

Mtoa mada huna lolote,endelea kuosha vgombo vya wazungu huko ughaibuni.
Hivi akili zako ziko sawasawa kweli!? Au unapuliza marijuana?
 
Head yako iko sawa kweli? Uangaliage vya kupenda!
 
Mbona enzi za utawala wa Mwalimu alikuwa ahutubii kanisani,alikuwa akienda kusali kama muumini mwingine Wa kawaida.

Huyu Wa sasa ameteka mihimili yote minne dah.
Huu ujinga umeanzia awamu hii. Kenya ndiyo wanasiasa wamekuwa wanatumia makanisa sana lakini kwa Tanzania aliyeanzishiza ni Magufuli na Makonda. Ila viongozi wakuu hasa wa kanisa Katoliki wasimtafute mchawi kwani wao ndiyo wamelea huu ujinga. Watu tangu mwanzo tulishaona huyu hana ucha Mungu wowote na kanisa analitumia tu kuficha uovu wake lakini wao wakawa wanamwachia.
 
Kanisa katoliki liko chini imaya ya Roma,ambayo ni dola kamili,wako chini ya balozi Wa Papa nchini,sijui wamekengeuka Vipi wakakosa hata ujasiri Wa kukemea maovu.

Zamani kanisa lilikuwa na uwezo Wa kumkemea serikali kama inakosea,ila Leo kimekuwa kama Bakwata tu.
 
Kama magufuli anamwaminu Mungu kwanini anatembea na msululu wa walinzi wenye silaha nzito? Kama sio unafiki ni nini?
 
Tuna rais wa ajabu hajawahi kutokea!
Lile komwe lake badala ya akili limejaa unga wa dengu
 
Chunga sana huo mdomo wako unaotoa maneno yanayotoa harufu mbaya.Eti uko kwenye mfungo.Mfungo gani huo,huo ni mfungo wa shetani kamili.Kajifunze kanuni za kufunga.Waulize wanaofunga wanabugia kila saa kama wewe.Poleeeeeeee
 
kumbeeee
 
Reactions: BAK
nataman corona imkamate MTU imuhenyeshe kwelikweli asife au afe ili aje atusimulie mwendowake ukoje.kwanza tumechoka nae miaka yote hajiamini kama anaonekana kilasehemu ,aaah jaman
 
Wasioamini katika misimamo ya Raisi wetu na wapate Corona na wafe wote maana hawana haki ya kuishi.
 
Mumshauri Basi magufuli aachane na walinzi aanze kumtegemea Mungu jumla jumla Kama yule rais wa Uruguay
Ili tuelewe anachokisimamia
Naona kweli unaniimanisha unachokisema.Ni vizuri wamshauri ili asipatikane wa kuchallenge chochote atakachokisema.Wajifunze kwa Marais wote wa nchi hii waliopita.
 
Pumba tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…