Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

Mkuu ili andiko lako linafaha kabisa kuwekwa makumbusho ya taifa. Mwisho niseme naunga mkono hoja
 
I hope askofu mkuu jumbo katoliki la Dar atazungumza na paroko wa st peter juu ya nidhamu yake
Hata ningekuwa mimi Paroko nikijua JPM anakuja kanisani kwangu , nisingevaa barakoa nisije kumuuzi bure. Binafsi simlaumu Paroko.
 
we endelea kujidanganya endelea, vijijini corona imetapakaa, hapa Dar watu kibao wamerudi na corona vijijini baada ya kwenda kuzika wana corona vijijini, unadhani huko vijijini wamebaki salama, au kwa vile hawana access na internet.
 
Isha ndo somo gani mkuu inawezekana halikunisumbua tuu labda hata sijalisoma kabisa.
I mean kuna article ina andikwa na mtu, alafu mwingine anaikopi ili isomwe na wengine, unakuta imewekwa viashiria ili watu wajue mwandishi wake siyo wewe ila ni flani.

Ndivyo ilivyo kwa hii habari ila umeshindwa kujua mwandishi wake ni nani, kudos!!.
 
Pumba
 
Mungu amsaidie huyu mtu sijui ana kichwa cha aina gani, nakubaliana na mwandishi anaposema ukiona wanakufa wakubwa ujue huko chini ndio wamepukutika wakutosha, Mungu atusaidie.

Nimekumbuka wimbo wa 2Pac; It's me against the world.
Jiwe ana akili za ajabu sana eti anasema hivi kwani watu wanavyokufa na Corona ndio wataisha ? From reliable source (cabinet) .
 
Huyu jamaa kanisa linampa heshima kwa sababu ya urais wake tu ila anayoyafanya ni fedheha kwa kanisa.
Mumshauri Basi magufuli aachane na walinzi aanze kumtegemea Mungu jumla jumla Kama yule rais wa Uruguay
Ili tuelewe anachokisimamia
Mbona simple 2 kwamaana paulo akiwa jambazi alikiwa na silaha muda wote lakini alivopata imani hajawahi gusa silaha na alikuwa anaeneza injili bila kikwazo chchte. Ko tunamuomba pia kwakuwa yeye ni mtu wa Imani afanye hivo pia.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Eti papa hatumii mitamdao ya kijamii wala hana simu ya android hebu ficha huu ujinga....wakati jyzi tu akaunti ya Papa ili-like picha ya mrembo aliyekaa nusu utupu kwa bahati mbaya...

Kubali au kataa au jitie upofu Mh Rais anatumia majukwaa ya dini vibaya ,,nina amini majukwaa hayo angetumia mpinzani anaambiwa anachanganya siasa na dini.
 
Huyu kakataa kuunga tela la upumbavu la kutovaa barakoa eti kwa kumuogopa jiwe. Jiwe ni mungu hadi aogopwe!? EBOO!

Hata ningekuwa mimi Paroko nikijua JPM anakuja kanisani kwangu , nisingevaa barakoa nisije kumuuzi bure. Binafsi simlaumu Paroko.
 
Hii ni tabia ya ku expose mapungufu ya afya za watu ni tabia ambayo mwigulu nchemba ameikemea siku sio nyingi , lakini cha ajabu bosi wake anaongoza kuifanya.
Ni zaidi ya ushamba lakini pia ni kosa la jinai. This thug of ours is a "Savage". Kilangila.
 
Daa katika nchi viongozi wana raha kuiongoza ni TZ aisee daaa. Em imagine watu wachache nd wanaweza kujiuliza maswali haya. Em mwambie ajibu mkuu afu tuendelee nae taratibu hhhhhh

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…