Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

Swali kwako pia. China inatumia barakoa? China ina idadi y watu wangapi? Je, waliougua ni wangapi? Je, Marekani inatumia barakoa? Je, Marekani ina raia wangapi na je waliougua ni wangapi na wamekufa wangapi? Hiyo ni mifano michache 2. Swali la mwisho na la msingi zaidi kwa mtazamo wako hizo nchi zisingeweka udhibiti kwa kufuata hizo nyenzo za kitaalamu unahisi nd maambukizi yangepungua?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kama magufuli anamwaminu Mungu kwanini anatembea na msululu wa walinzi wenye silaha nzito? Kama sio unafiki ni nini?
Naomba niongezee hapo. Kama kweli anamuamini Mungu kwann anapigana vita ya kiuchumi wa kidunia kwa kumtegemeza Mungu? Kwasababu Mungu anasema tusitake sana mali za duniani maan hazina yetu iko mbinguni.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kweli wewe NI moja ya watu adimu MUNGU akulinde
 
Ngurumo hajabadili chochote alichoongea Rais na hajaweka mtazamo wake zaidi sana amesummarize alichoongea Rais na kukijibu kwa njia ya maswali katika aya kumi.

Nchi hizo zote zilizopigwa na korona zikaweka lockdown na waliotumia barakaoa kujikinga imesaidia sana, hata kama wewe ni mvivu angalia takwimu za mwanzo za maambukizi na vifo na takwimu za sasa utapata majibu, halafu kwanini mnaangalia vifo tu walivyopata hamuangalii idadi ya watu ambao maisha yao yameokolewa? Maisha ya watu yaliookolewa ni mengi na waliofariki jitihada zilifanyika lakini issue ikawa nje ya uwezo wao, hawakuachwa wafe tu. Hata hivyo hakuna mtanzania anayetaka lockdown msijifiche kwenye kichaka cha lockdown.

Unathibitishaje kuwa mlivyoacha kuvaa barakoa maambukizi yalipungua? unajua interval ya muda wa maambukizi ya mwanzo na ya sasa? Je unajua tabia za kirusi? yaani umekiacha kirusi kizurure muda wote huo halafu utegemee kidhoofu are you mad?

Korona haijaja kwa kasi sababu ya chanjo bali kirusi alikuwepo amezagaa na ametengeneza tabia mpya na ameibuka kwa ukali (angalau haya ni maelezo marahisi sana ambayo hata mtoto anaweza kuelewa yenye maana ile ile hata yangeelezwa kisayansi, usipoelewa hatuna cha kukusaidia)

Hoja ya mjini na vijijini ni simple tu, suala la population ya vijijini na mjini ni jibu hapa, msongamano uliopo mjini na vijijini ni tofauti ndio maana mjini tunaposongamana maambukizi ni makubwa, Wenye akili/wenye dunia ndio maana wanasisitiza "social distancing".

Mwandishi hawi mpuuzi kwa kutofautiana na Rais, mwandishi anakuwa mpuuzi ukiweza kuthibitisha upuuzi wake. Na hana chuki sababu tu hajakubaliana na Rais, kama ndivyo basi ni salama kusema Rais anachuki na wazungu sababu tu anatofautiana nao mtazamo, Fair?

Mwisho kazi ni kazi ilimradi ni ya halali, je wewe mwenzetu unafanya kazi gani?
 
Very well said Best 👏🏾👏🏾👏🏾👍🏽
 
Watanzania tumechoka kuburuzwa.
Sema umechoka wewe huko USA kupangusa vibibi vya kithungu. Sisi wala, jisemee mwenyewe na kuwadi wako Ngurumo maana ndio role model wako.
 
barakoa; na akasisitiza kuwa wasaidizi wake hawavai barakoa. Si kwamba hawataki, bali hawawezi kuvizaa mbele yake. Yeye hataki! Sijui anapata faida gani.
Atakuwa anakula nyama za watu huyu bwana sio bure.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…