Nguruwe hajaingia joto, nifanyeje?

Nguruwe hajaingia joto, nifanyeje?

Ase mi naona ukalale nao ndani kwako labda watapata joto bila hivyo watakufaa kaka[emoji16]
 
Mkuu gari ikiwa low battery huwa tuna boost na battery nyingine inawaka, nakushauri umboost huyo nguruwe apate heat, mpande mwenyewe uone mwezi ujao kama hujapata heat
 
Embu jaribu kuwatomasa tomasa mkuu pengine labda nyg zao ziko mbali.
 
Weka karibu na moto...kwa siku tatu na baada ya hapo watoe...kaaa siku sita warudishe tena kwenye moto...fanya hivyo kwa mwaka mzima
 
Ninaguruwe 2 walizaliwa mwezi April 2016 , wanazaidi ya mwaka sasa lakini hawaingii joto ili niwapandshe, naomnba ushauri wako nifanyeje, nimejaribu kuwapa chumvi naona bado tu, msaada wako ni wa mhimu, natanguliza shukrani.
Wape chakula bora kwa maana ya balansi diet yao. But km uko dar nitafute naweza kukup msaada. Pia sio lazima uone K imevimba kuna wengine wanaingia kimya kimya. Pia wasinenepe sana.
 
1. Sema unawalisha chakula gani? Unawapa vyakula vya ziada kama mashudu, madini (pig mix), vitamins, nk? Kizazi cha mguruwe kinahitaji protin na madini na vitamins ili kukomaq na kuzalisha mayai. Mayai yanapokomaa ndio yanasababisha joto
2. Kama kweli umawalisha vyema kama nilivyoeleza juu inaezekana wakawa na joto la kimya (silent heat) ambapo hawsonyeshi dalili za joto. Lakini hii ni nadra sana. Kama ni silent heat dume linapaswa liwe pamoja na jike kwa kuwa lina uwezo wa kugundua kuwa jike liko katika joto.
Mkuuu hapo hapo nataka kuuliza...joto wana ingia wakiwa na umri gan/ miezi mingap??? Alafu naomba ushaur wako pia mimi nina nguruwe 5,jike 3 na madume 2,dumr ana timiza miez sita sasa ana majike mwili wa rika lake wa miez sita jike moja ni mdgo kwake ana miez 3..kadume kingine kana miez 3 wote nime waweka banda moja changamoto ya banda kuna madhara???? ,jike moja akipata joto ita dhuru kupandwa huku wako na hao wengine bandan
 
Sio mbaya nikakujibu ata mimi, nianze na swali namba
1. Anaanza kuingia joto akiwa na miezi 7-8 ila inategemea na matunzo, namaanisha chakula na mambo mengine madogo madogo kama banda nk

2.ndio inaweza kuathiri kuwaweka pamoja kwani dume hutakiwa akae peke yake pale anapofikia umri wa kupanda, na unapotaka kupandisha basi humchukua jike aliye kwenye joto na kumpeleka kwa dume
Kwanini ni vibaya= madume mengi hasa wale ambao bado hawana experience sana kwenye kuoanda (umri mdogo) huona aibu kupanda mbele ya nguruwe wengine hivo huaacha tu ata kama jike yuko kwenye joto

Pia ni vizuri kutenga nguruwe kutokana na umri wao ili ujue unawahudumia vipi kwenye issue ya maji na chakula, ukimix utakuta sometimes wengine wanadumaa kwani wale wakubwa ndio watakuwa wanakula chakula kingi kuliko wadogo

NOTE: usichanganye nguruwe wa tumbo 1 ambao wamefika umri wa kupandwa na kupanda, pandisha nguruwe ambao wanatoka ukoo tofauti tu
 
Shukran mkuuu hapo nimekueleea sana haswa ishu ya jamaa kuona aibu kwenye swala zima la kushiriki tendo
 
Kuna madhara kukaa sehem ina udongo mkuu
Hakuna madhara ila inahitaji usafi sana

Nikushauri,ukifanikiwa kuuza jaribu kutengeneza banda la kisasa na chakula pia wachanganyie vyenye virutubisho
Utashangaa watakavyoongezeka
 
wamwagie maji ya moto...fasta tuu watakuwa kwenye joto mkuu...!!!...
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
híí línk mвσnα inakataa вσѕѕ
 
Back
Top Bottom