Kidevundevu
Member
- Jun 4, 2023
- 38
- 44
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kila mmoja.120k kwa wote au kwa kila mmoja?
Wakubwa ni mil 10? AmaKwa kila mmoja.
Karibu mkuu, watam sana.Astaghfirullah
Hapana haifiki huko. 120k kwa umri huo ni bei ya kawaida sana.Wakubwa ni mil 10? Ama
Mkuu kwa ajili gani?Astaghfirullah
Large white, karibu mkuu.Ni aina gani hao nguruwe wako?
Choice variable anauliza namba za simu au mawasiliano .Wakuu habari?
Kama title inavyosema, maelezo zaidi ni kama ifuatavyo.
Idani: 10
Umri: Miezi miwili na nusu.
Bei: @120,000/= (Maongezi yapo)
Eneo: Arusha, Themi Hill.
Karibuni wakuu!
View attachment 2666533View attachment 2666534View attachment 2666535View attachment 2666536View attachment 2666537View attachment 2666538View attachment 2666539View attachment 2666540View attachment 2666541
Kuna jamaa yangu katika imaan anafuga kuku pamoja na hawa wadudu kibiashara. Na kila mwaka anavuna mihela tu.Astaghfirullah
Jike 6, dume 4.Jike ngp na dume ngp?
Nakutumia mawasiliano mkuu.Choice variable anauliza namba za simu au mawasiliano .
Au ukifika arusha choice variable anawapataje?
Mkuu, mbona unamzalilisha? Haitwi mdudu BWANA, hii nyama ina heshima yake; ikitayarishwa kama kitoweo ina itwa porck. Ukiwa na familia kubwa ya wake wengi kwa wakati mmoja na watoto kibao huwezi kumudu kula porck.Kuna jamaa yangu katika imaan anafuga kuku pamoja na hawa wadudu kibiashara. Na kila mwaka anavuna mihela tu.
Wewe endelea na hiyo Astaghfirullah yako.
Mawasiliano yako mkuuWakuu habari?
Kama title inavyosema, maelezo zaidi ni kama ifuatavyo.
Idadi: 10
Umri: Miezi miwili na nusu.
Bei: @120,000/= (Maongezi yapo)
Eneo: Arusha, Themi Hill.
Karibuni wakuu!
View attachment 2666533View attachment 2666534View attachment 2666535View attachment 2666536View attachment 2666537View attachment 2666538View attachment 2666539View attachment 2666540View attachment 2666541
Nimekutumia mkuu, karibu.Mawasiliano yako mkuu