Nguruwe wadogo wanauzwa, Arusha

Kidevundevu

Member
Joined
Jun 4, 2023
Posts
38
Reaction score
44
Wakuu habari?

Kama title inavyosema, maelezo zaidi ni kama ifuatavyo.

Idadi: 10
Umri: Miezi miwili na nusu.
Bei: @120,000/= (Maongezi yapo)
Eneo: Arusha, Themi Hill.

Karibuni wakuu!



UPDATES: Done deal..! Shukrani kwa ushirikiano wenu.
 
Choice variable anauliza namba za simu au mawasiliano .

Au ukifika arusha choice variable anawapataje?
 
Kuna jamaa yangu katika imaan anafuga kuku pamoja na hawa wadudu kibiashara. Na kila mwaka anavuna mihela tu.

Wewe endelea na hiyo Astaghfirullah yako.
Mkuu, mbona unamzalilisha? Haitwi mdudu BWANA, hii nyama ina heshima yake; ikitayarishwa kama kitoweo ina itwa porck. Ukiwa na familia kubwa ya wake wengi kwa wakati mmoja na watoto kibao huwezi kumudu kula porck.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…