Mkuu pole kwa hii changamoto ikitokea ili kunusuru watoto unaweza kuwapatia maziwa ngombe au yaliyotengenezwa kua unga kama mbadala na utawanywesha watoto si chini ya mara sita kwa siku na kila baada ya masaa 2-4 kiwango cha kunywesha kila mtoto ni mls 50 kila unapowatia ila siku za mwanzoni 2 -3weeks. muhimu watoto watengenezewe articificial colostrum kwa ajili ya kutengeneza kinga ya mwili ya kuzuia magonjwa kwenye maisha yao na kama chanzo cha virutibisho n.k
Jinsi ya kutengeneza artificial colostrum lita moja weka maziwa ya vuguvugu nusu lita maji ya vuguvugu nusu lita yai moja (ukipata lakienyeji ni zuri zaidi) kijiko kimoja cha mafuta ya samaki na kijiko kimoja cha mafuta ya mnyonyo
Ikifika week mbili unaweza kuwaanzishia kama ni starter au creep feeding
Kwa upande wa mama yao tafuta dactar afanye diagnosis kutambua chanzo za tatizo atibiwe . Akichomwa oxytocin hormone inayoweza kuchochea kutoa maziwa .