jino kwa jino
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 794
- 191
Bye byeClub ya Yanga imemtoa mshambiliaji wake Kwa mkopo kwenda coast union ya Tanga Hadi mwisho wa msimu
Hii itakuwa ndio kuagana mazima. Ngushi akijirekebisha makosa yake madogo madogo Bado ni mchezeji mzuri akipewa nafasi cost uniuon namuona akirudi kariakoo
Sawa mtaalam wa lughaMakolo mna mambo, haya ni bye bye na sio by by.
Simba na Yanga hazijawahi kutoa mchezaji kwa mkopo. Huyo AMEFUKUZWA KIJANJA
Mh! Mkuu uwe na uhakika ndo ukomenti humu. Duchu amekuwa mchezaji wa Simba kote alikokwenda Hadi juzi aliporejeshwa. Kusema hazijawahi kutoa mchezaji Kwa Mkopo siyo sahihi.Simba na Yanga hazijawahi kutoa mchezaji kwa mkopo. Huyo AMEFUKUZWA KIJANJA