Ngushi bye bye Yanga

Ngushi bye bye Yanga

jino kwa jino

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
794
Reaction score
191
Club ya Yanga imemtoa mshambiliaji wake Kwa mkopo kwenda coast union ya Tanga Hadi mwisho wa msimu

Hii itakuwa ndio kuagana mazima. Ngushi akijirekebisha makosa yake madogo madogo Bado ni mchezeji mzuri akipewa nafasi cost uniuon namuona akirudi kariakoo
 
Bye bye
 
Simba na Yanga hazijawahi kutoa mchezaji kwa mkopo. Huyo AMEFUKUZWA KIJANJA
Mh! Mkuu uwe na uhakika ndo ukomenti humu. Duchu amekuwa mchezaji wa Simba kote alikokwenda Hadi juzi aliporejeshwa. Kusema hazijawahi kutoa mchezaji Kwa Mkopo siyo sahihi.
 
Ngushi akienda timu kama simba, mshambuliaji wao Baleke ataanzia benchi.
 
By by ndio nini?
Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
Makolo mna mambo, haya ni bye bye na sio by by.
😀😀😀
Screenshot_20240113_194800_Edge.jpg
 
Back
Top Bottom