OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
kwahiyo mechi mojaJamaa anajua kucheza na mpira miguuni ukimkaba unakuta mpira haupo unachobkutana nacho ni miguu yake mpira unakua nyuma yako huenda ndio sababu kuu inayomfanya apate majeraha kila wakati, pia anajua kuwahenyesha mabeki muda wote mpaka wanakosa utulivu, combination ya ngushi itakua hatari zaidi akipangwa na kikosi A lile pengo la Mayele hamtaliona tena ni suala la muda tu.
mkuu mchezaji mzuri huwa anaonekana haraka sana jana mpaka nkashangaa huyu mtu kwanini hakuwa anapangwa ? Baada ya mapinduzi cup tutategemea kumuona akipangwa mara kwa mara huyu dogo.kwahiyo mechi moja
Ni mchezaji asiyekuwa na muendelezo. Alipangwa kwenye mechi dhidi ya Kaizer chief akaonekana bonge la mchezaji, Gamondi akampanga tena kwenye ngao ya jamii akawa kituko uwanjanimkuu mchezaji mzuri huwa anaonekana haraka sana jana mpaka nkashangaa huyu mtu kwanini hakuwa anapangwa ? Baada ya mapinduzi cup tutategemea kumuona akipangwa mara kwa mara huyu dogo.

Hata Prof Nabi alisema.mkuu mchezaji mzuri huwa anaonekana haraka sana jana mpaka nkashangaa huyu mtu kwanini hakuwa anapangwa ? Baada ya mapinduzi cup tutategemea kumuona akipangwa mara kwa mara huyu dogo.
Mashabiki wa simba mnapitia kipindi kigumu sana.
Ngushia ili acheze inabidi nani asubiri.Pia mzize akicheza muda mrefu na NGUSHI ataimarika zaidi tena kwa haraka hata msimu unaweza usiishe akawa tishio maana akimuona NGUSHI anatia mpira nyavuni anapata machungu balaa anapambana sana.