OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Jamaa anajua kucheza na mpira miguuni ukimkaba unakuta mpira haupo unachobkutana nacho ni miguu yake mpira unakua nyuma yako huenda ndio sababu kuu inayomfanya apate majeraha kila wakati, pia anajua kuwahenyesha mabeki muda wote mpaka wanakosa utulivu, combination ya ngushi itakua hatari zaidi akipangwa na kikosi A lile pengo la Mayele hamtaliona tena ni suala la muda tu.