Hebu tupe mfano wa kitu kilichotengenezwa kisayansi kwa kutumia nguvu pekee bila kifaa chochote...Yeah
Sasa ndugu yangu Unauliza kitu ambacho hata hakipo??? unataka Nguvu itumikaje labda? Kama kwenye mazingaombwe au?Ningekuwa najua nadhani nisingekuja kuhoji sijui na ndo maana nakauliza
Nachotaka kujua ni swala hili kama linaweza kuelezeka kisayansi na ni kivipi... hivyo tu.Sasa ndugu yangu Unauliza kitu ambacho hata hakipo??? unataka Nguvu itumikaje labda? Kama kwenye mazingaombwe au?
Hapo nimekuelewa, Subiri wahusika wajeNachotaka kujua ni swala hili kama linaweza kuelezeka kisayansi na ni kivipi... hivyo tu.
haswa nalotaka kujua ni je,nguvu ya kufanya hivyo ipo au lah na iwe inaelezeka kisayansi nadhani utakuwa umenielewa mkuu
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?Hakuna upumbavu mkubwa kama binadamu kuhoji juu ya uumbaji wa mungu!!....ni sawa na sisimizi atake kuuumiza kichwa na kuhoji juu ya ni jinsi gani binadamu ameweza kupeleka chombo kwenye sayari ya pluto,hakika hatapata jibu!!!!
Sawa mwanafizikia mdogoEnergy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another
Tunaelewa anachokijua sisimizi kutokana na matendo yake!Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Unajuaje sisimizi anajua nini na hajui nini?