a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,456
- 1,459
Swali zuri japo ungeelewa nilipokuambia tuanze na swali la Mungu ni nini kwanza, usingepata huo utata.Kama Mungu ni sharia, kwa nini unaandika "akafanya" na si "ikafanya"?
Sheria si nafsi.
Kwa nini unatumia "akafanya" kama vile sharia ni nafsi?
Nguvu ya uvutano ni sharia. Nikitaka kuongelea kilichofanywa na nguvu ya uvutano nitaandika "ikafanya".
Sasa kwa nini wewe unaandika "akafanya"?
You are confusing us. Mungu ni nafsi au sharia?
Kabla sijajibu hili swali lako jipya, nikuulize kama umeelewa habari za Upendo /Ubaya, ujuzi/uwezo wa yote.
Semea hilo kwanza ili tuendelee na darasa la kwa namna gani Asili ni Conscious. Una swali juu ya kutokea kwa mabaya?