Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Unataka kusema huo ndio uelewa wako wa kauli HUWEZI KUULIZA? Kufikia kujitapa ati mbona nimeuliza?

Ukiandika kwamba siwezi kuuliza kitu ambacho nishauliza maana yake huelewi maana ya "huwezi kuuliza" au una matatizo mengine ya kuelewa.
 
Ninakuelekeza kwa hatua, ninapaswa kukuambia kwa Mungu ni nini kisha nikuambie Ukuu wake, kipi ina na kipi haiwezi kufanya. Kipo ni nini na kipi si nini kwa Mungu, kwa pamoja tukishajua hayo, tutatoa hukumu juu ya hicho kiitwacho Mungu.

Unaogopa nini kujibu? Imani ni kuishi unachokijua, yaelekea huna imani hata ya kile unachofikiri unakijua.
Mungu wako ana upendo?

Umeniambia Mungu ni nguvu, hiyo nguvu ina upendo?

Hujajibu swali hili, unalikimbia tu.

Kwa nini? Unaogopa nini kujibu?
 
Ukiandika kwamba siwezi kuuliza kitu ambacho nishauliza maana yake huelewi maana ya "huwezi kuuliza" au una matatizo mengine ya kuelewa.
Tafsiri yake ni kwamba, kama wewe umeuliza unapaswa kujitafakari upya.... Unapoambiwa huwezi kula chakula chote bila kumbakishia mwenzako, nawe ukala chote, tutajiuliza mara mbilimbili.
 
Unafahamu kwamba "unapaswa" na "huwezi" ni maneno yenye maana tofauti?

Unafahamu kwamba wewe huna nidhamu ya kutumia maneno?

Unafahamu kwamba kukosa nidhamu ya kutumia maneno kunaonesha kukosa nidhamu ya kuwaza?

Unafahamu kwamba ukikosa nidhamu ya kuwaza unaweza kuamini kitu kipo wakati hakipo?

Unafahamu kwamba ukiamini kitu kipo wakati hakipo unaweza kuamini Mungu yupo wakati hayupo?

Unafahamu kwamba nishakuonesha kwa nini unaamini Mungu yupo wakati hayupo?
 
Mungu wako ana upendo?

Umeniambia Mungu ni nguvu, hiyo nguvu ina upendo?

Hujajibu swali hili, unalikimbia tu.

Kwa nini? Unaogopa nini kujibu?
Upendo ni nini kwako ukiihusihanisha na Sheria zilizofanya Ulimwengu, yaani Asili?
 
Upendo ni kutotaka mabaya (yale yanayoleta madhara) yatokee kama yanaweza kuzuiliwa, na kutaka mazuri (yale yanayoleta heri) yatokee mara zote.

Mungu wako ana upendo?
 
Unafahamu kwamba "unapaswa" na "huwezi" ni maneno yenye maana tofauti?

Unafahamu kwamba wewe huna nidhamu ya kutumia maneno?

Unafahamu kwamba kukosa nidhamu ya kutumia maneno kunaonesha kukosa nidhamu ya kuwaza?

Unafahamu kwamba ukikosa nidhamu ya kuwaza unaweza kuamini kitu kipo wakati hakipo?

Unafahamu kwamba ukiamini kitu kipo wakati hakipo unaweza kuamini Mungu yupo wakati hayupo?

Unafahamu kwamba nishakuonesha kwa nini unaamini Mungu yupo wakati hayupo?
Rudi darasani ukasome tofauti ya Lugha Sanifu na Lugha Fasaha, usijipe credit watu wapo wanasoma na watahukumu kati yetu ikibidi.
 
Si ajabu hata huyo Mungu wako unaemsema ni wa lugha sanifu, kama vile "huwezi" inavyokuwa sawa na "hupaswi".

Kwa mtaji huo hata kukuelewa kazi, seuze kukubishia.
 
Upendo ni kutotaka mabaya (yale yanayoleta madhara) yatokee kama yanaweza kuzuiliwa, na kutaka mazuri (yale yanayoleta heri) yatokee mara zote.

Mungu wako ana upendo?
Jibu lako linahusiana vipi na sheria zilizofanya ulimwengu? Kwanini madhara yanatokea? Nilishakuuliza, heri ni nini na inatokeaje, na Inatokea ili iwe nini, na kwanini mara nyingine haitokei?
 
Si ajabu hata huyo Mungu wako unaemsema ni wa lugha sanifu, kama vile "huwezi" inavyokuwa sawa na "hupaswi".

Kwa mtaji huo hata kukuelewa kazi, seuze kukubishia.
Usanifu wa Lugha na Ufasaha wa Lugha bado ni tatizo kwako. Ungetambua vizuri usingeng'ang'ana na hoja mufilisi kama ya lugha tena pasipo kujua usahihi, ili tu ukwepe hoja ya msingi.
 
Jibu lako linahusiana vipi na sheria zilizofanya ulimwengu? Kwanini madhara yanatokea? Nilishakuuliza, heri ni nini na inatokeaje, na Inatokea ili iwe nini, na kwanini mara nyingine haitokei?
Jibu langu linahusiana na sharia zilizofanya ulimwengu kwa sababu tunaona ulimwengu ambao una mabaya na tunataka kujua haya mabaya yamekuja vipi, ukisema Mungu ni nguvu,
Usanifu wa Lugha na Ufasaha wa Lugha bado ni tatizo kwako. Ungetambua vizuri usingeng'ang'ana na hoja mufilisi kama ya lugha tena pasipo kujua usahihi, ili tu ukwepe hoja ya msingi.
Mungu wako ana upendo?
 
Jibu langu linahusiana na sharia zilizofanya ulimwengu kwa sababu tunaona ulimwengu ambao una mabaya na tunataka kujua haya mabaya yamekuja vipi, ukisema Mungu ni nguvu,

Mungu wako ana upendo?
Asili ni Nguvu na Sheria zilizofanya Ulimwengu, na kwazo Ulimwengu unaishi. Kila ukionacho leo ni matokeo ya aidha KUTII SHERIA ama KUKIUKA SHERIA, Upendo ni Tokeo ya Kutii hizo Sheria, na Ubaya ni Tokeo la Kukiuka Sheria. So, kwavile Asili yenyewe ni Sheria, kwa sheria imefanya(creation),na kwa sheria kifanywa kinaishi.

Ndio maana nilikuambia Upendo si kumpa chakula masikini, ila tu kama ndio kutii sheria.

Lete hoja..... Hiyo ndio Asili na inavyoishi, yaani Mungu.
 
Umeandika mengi lakini uliloulizwa hujajibu.

Mungu wako ana upendo?
 
Umeandika mengi lakini uliloulizwa hujajibu.

Mungu wako ana upendo?
Kiranga Unafurahisha sasa, kipi ambacho hujaelewa hapo. Upendo wa Mungu ni kuufanya Ulimwengu, sawa ulivyo Upendo wa binadamu ni kutii sheria za Mungu, matokeo yake ndio Upendo. Narudia tena, Upendo ni Tokeo la Kutii Sheria za Mungu. Upendo si kitu unachoweza kukisema ninacho ama sina, alichonacho binadamu ni Uwezo wa Kutii Sheria za Mungu, Mungu ni Nguvu na Sheria, ambazo ukizitii tokeo lake ni Upendo. Je, Umenielewa?
 
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aruhusu ulimwengu ambao tetemeko la ardhi linaweza kupiga na kuua mpaka watoto wakati angeweza kuumba ulimwengu ambao tetemeko la ardhi halipigi?

Hujajibu swali hili.

pic+earth+quake.jpg
 
Unazidi kufurahisha ndugu. Umeelewa nilipokuambia Upendo ni nini na Ubaya ni nini? Usikariri maswali kwa kila mtu. Habari za kuweza yote nilishatolea majibu kuwa, KAMWE MUNGU HAWEZI KUFANYA ASIWE MUNGU, SIKU ZOTE YEYE NI SHERIA NA KWA SHERIA ANATENDA.
 
Nimekuuliza, unaelewa nini ninapokuambia Mungu ni Sheria? Unaelewa nini ninapokuambia Upendo au Ubaya ni matokeo ya Uwepo wa Sheria?

Hakuna Upendo wala Ubaya, wala huruma, wala ujuzi na uwezo wa yote nje ya Sheria. Mungu mwenyewe ni Sheria, kwa sheria akafanya, na kwa sheria kifanywa kinaishi. Hayo matetemeko, vifo, maradhi ni matokeo ya Ukiukwaji wa sheria. Sema wapi hujaelewa nikueleweshe.
 
Kama Mungu ni sharia, kwa nini unaandika "akafanya" na si "ikafanya"?

Sheria si nafsi.

Kwa nini unatumia "akafanya" kama vile sharia ni nafsi?

Nguvu ya uvutano ni sharia. Nikitaka kuongelea kilichofanywa na nguvu ya uvutano nitaandika "ikafanya".

Sasa kwa nini wewe unaandika "akafanya"?

You are confusing us. Mungu ni nafsi au sharia?
 
Back
Top Bottom