Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Wapi nime panic? Unanjaje kwamba nime panic? Unajuaje kwamba wewe hujapanic kuniona mimi nime panic?
Taratibu ndugu, kipimo ulichotumia wewe kusema kuwa nimehamanika, ndicho nilichotumia mimi kusema wewe umepanic.

Halafu kwanini unapenda kutoka nje ya hoja ya msingi na kufuatilia vijimambo vidogovidogo? Onesha ni wapi ulipojibia post yangu namba 187.
 
Vijimambo vidogo ni vipi na vikubwa ni vipi? Kwa msingi gani? Na uamuzi wa nani?
 
Je, hujui tunachojadili hapa kiasi cha kutojua msingi frame work ya swali la utofauti kati ya kujua na kuamini?
Hujajibu swali nililokuuliza, ulichojibu si nilichokuuliza.

Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Onesha wapi ulipojibia post yangu namba 187.

Post yako imejibiwa na post namba 196. Kwa nini unaona mazuri ni lazima yatoke kwa Mungu wakati hata huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
 
Ni wapi nilikosema mazuri ni lazima yatoke kwa Mungu? Nimekuuliza mazuri ni nini, na mabaya ni nini, na yanatoka wapi, huko ndio kusema lazima mazuri yatoke kwa Mungu?

Umeshindwa kujibu swali unaanza kulisha watu maneno na kujitafutia majibu mwenyewe.
 
Swali hili nilishalijibu.

Nakujibu tena, mazuri ni yale unayoyataka na yenye kuleta fanaka ya heri, mabaya ni yale usiyoyataka na yasiyoleta fanaka ya heri.

Na wewe nijibu swali langu maadam mimi nimekujibu.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kufanyika?

Hujanijibu swali hili.
 
Heri ni nini na inatokeaje na tunaipimaje? Swali lako nilishajibu mara nyingi, ndilo lililoleta mjadala hadi hapa ulipo sasa, toa majibu ya maswali hapo juu.
 
Wapi na kipi zote zipo katika nini, lakini nini haipo katika wapi na kipi.

Jifunze Kiswahili. Jifunze set theory.
Ungetoa jibu kwanza ndio ungeonesha vizuri, kwanini kuwa mahususi kwenye swali hili kuna mapungufu.
 
Heri ni nini na inatokeaje na tunaipimaje? Swali lako nilishajibu mara nyingi, ndilo lililoleta mjadala hadi hapa ulipo sasa, toa majibu ya maswali hapo juu.
Hujajibu swali langu, onesha ulipolijibu.
 
Back
Top Bottom