KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
- Thread starter
- #181
hapo ndo umenithibitishia..?kama unaamini kuwa yupo basi nakusihi uamini na maandiko ya vitabu vyake vyenye mafundisho ya uumbaji wa kila kitu.
lakini kama hauamini basi ni ngumu sana mkuu. ila mambo ya imani yanahitaji sana kufikiria beyond. jiulize kwanini hatuwezi kutengeneza damu tukaongezea watu mahospitalini instead tunahimiza hatu wachangie ili ipatikane ya kuongezea. it means yupo aliye itengeneza ambae elimu yake hakuna anaeijua zaidi yake ndio maana hata hao wazungu wanasayansi wanao aminiwa hawaijui hadi leo.
swala la kuamini vitabu vyake halitakuwa na tija kama hakuna uthibitisho.