Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Nguvu inawezaje kutengeneza object?

Hujajibu swali langu, onesha ulipolijibu.
Kuna mahali nimesema kuwa unawezaje kumjua Mungu. Ili nikuthibitishie uwepo wa Mungu, hatua yangu ya kwanza ni kukuambia wewe Kiranga na wengine kuwa MUNGU NI NINI. Kukujuza hilo ndio njia yangu mimi, usilete hoja za mtu mwingine hapa.

Nilikuambia na ninarudia tena kuwa MUNGU NI NGUVU NA SHERIA ZILIZOFANYA ULIMWENGU yaani ASILI. Kisha nikakuuliza wewe Kiranga, je Unatambua uwepo wa asili ambayo ni nguvu na Sheria zilizofanya ulimwengu?

Hilo ndilo swali unalolikwepa mpaka leo, kama kuna mahali umejibu onesha hapa. Kumbuka madai yako ya uwepo wa Mungu hayamgusi mkristo, muislamu na watu wa dini peke yao, So tuanze hapo kwanza, usilete hoja za kulishana. Nataka nikuambie Mungu ni nini kwanza.
 
Nilikuuliza, hiyo nguvu unayoiongelea ina upendo?

Hujajibu swali hili mpaka sasa.
 
Habari ya Upendo unaitoa wapi na mimi sijaitaja? Unaniuliza hilo swali kwa mujibu wa nini?
Kwa mujibu wa vipimo vya kutaka kujua kama unachosema ni kweli ama si kweli.

Suala si kama habari ya upendo umeitaja au hujaitaja.

Suala ni, upendo upo au haupo?

Naweza kuuliza suala la upendo kuhusu Mungu huyo kama ninavyoweza kuuliza kama ana rangi? Au anaingilia maisha ya kawaida ya binadamu ya kila siku? Au anasimama akifika kwenye traffic light?

Kwa nini swali la kama Mungu wako ana upendo liwe gumu sana kwako kulijibu?

Hili swali linatakiwa liwe rahisi sana kulijibu.

Kwa nini linakuwa gumu kwako?
 
Ni nani anayeshindwa kujibu swali rahisi kabisa hapa kama si wewe? Suala kuwa na rangi ama laa linabatishaje ama kuhalalisha uwepo ama kutokuwepo kwa Nguvu iliyofanya Ulimwengu?

Narudia tena, hapa tunataka kujua Mungu ni nini si nani? Habari za Mungu wangu, ana, e.t.c unazitoa Wapi?

Kwa nini swali la kama Mungu wako ana upendo liwe gumu sana kwako kulijibu?

Hili swali linatakiwa liwe rahisi sana kulijibu.

Kwa nini linakuwa gumu kwako?
Jibu langu kwako linafungwaje na hivyo vipimo?
Usidanganye umma hapa, huwezi kuniuliza rangi kama hujui Mungu ni nini. Aje kama Mungu ni rangi yenyewe, nawe bado utauliza kama ana rangi?

Mkwepaji hapa ni wewe, Swali jepesi hili, Mungu ni Asili ambayo ni Nguvu na Sheria zilizofanya ulimwengu, je unatambua uwepo wake?

Nje ya jibu NDIO au HAPANA ni kukimbia mjadala kwa hoja dhaifu.
 
Hakuna upumbavu mkubwa kama binadamu kuhoji juu ya uumbaji wa mungu!!....ni sawa na sisimizi atake kuuumiza kichwa na kuhoji juu ya ni jinsi gani binadamu ameweza kupeleka chombo kwenye sayari ya pluto,hakika hatapata jibu!!!!
Wanaohoji ukuu wa mungu ndio wanajipa ufahamu wa kumjua na kumtafuta zaidi ya wale wasiohoji. Wewe kila kitu unasema igweeeeee. Hebu sometimes uwe unajiongeza mkuu
 
Jibu langu kwako linafungwaje na hivyo vipimo?
Usidanganye umma hapa, huwezi kuniuliza rangi kama hujui Mungu ni nini. Aje kama Mungu ni rangi yenyewe, nawe bado utauliza kama ana rangi?

Mkwepaji hapa ni wewe, Swali jepesi hili, Mungu ni Asili ambayo ni Nguvu na Sheria zilizofanya ulimwengu, je unatambua uwepo wake?

Nje ya jibu NDIO au HAPANA ni kukimbia mjadala kwa hoja dhaifu.

Unasema siwezi kukuuliza rangi kama sijui Mungu ni nini wakati nishakuuliza na nishakueleze sijui Mungu ni nini kwa sababu gani?

Mbona unaniambia siwezi kufanya kile ambacho nishakifanya?

Umeandika

Mkwepaji hapa ni wewe, Swali jepesi hili, Mungu ni Asili ambayo ni Nguvu na Sheria zilizofanya ulimwengu, je unatambua uwepo wake?

Nimekuuliza swali dogo tu ili nipate kuielewa asili hiyo unayoielezea vizuri Zaidi, ili nikujibu vizuri kwa maelewano, nisije kujibu kwa kufikiri unaongelea gravity wakati unaongelea kitu kingine.

Nimekuuliza, asili hiyo ina uwezo wa kupenda?

Hujajibu.

Kwa nini unakwepa swali hili?
 
Nitajaribu kwa maarifa haya.
Hydrogen + 0xgen = water.
Carbon+ hydrogen+ oxygen = organi campound.

Organic campound can interact each other to form cell

Cell + cell = tissue

Tissue + tissue = organ

Organi+ organ = organ systems

The interaction of different organ system = living organism.

Ukiwa ujaelewa niite nitarudi kutoa ufafanuzi kwa mapana.

Hapo nimesamarize vitabu kama mkate kwa ukubwa kama kumi na mbili
 
Unasema siwezi kukuuliza rangi kama sijui Mungu ni nini wakati nishakuuliza na nishakueleze sijui Mungu ni nini kwa sababu gani?

Mbona unaniambia siwezi kufanya kile ambacho nishakifanya?

Umeandika

Nimekuuliza swali dogo tu ili nipate kuielewa asili hiyo unayoielezea vizuri Zaidi, ili nikujibu vizuri kwa maelewano, nisije kujibu kwa kufikiri unaongelea gravity wakati unaongelea kitu kingine.

Nimekuuliza, asili hiyo ina uwezo wa kupenda?

Hujajibu.

Kwa nini unakwepa swali hili?
Unataka kusema huo ndio uelewa wako wa kauli HUWEZI KUULIZA? Kufikia kujitapa ati mbona nimeuliza?
 
Unasema siwezi kukuuliza rangi kama sijui Mungu ni nini wakati nishakuuliza na nishakueleze sijui Mungu ni nini kwa sababu gani?

Mbona unaniambia siwezi kufanya kile ambacho nishakifanya?

Umeandika

Nimekuuliza swali dogo tu ili nipate kuielewa asili hiyo unayoielezea vizuri Zaidi, ili nikujibu vizuri kwa maelewano, nisije kujibu kwa kufikiri unaongelea gravity wakati unaongelea kitu kingine.

Nimekuuliza, asili hiyo ina uwezo wa kupenda?

Hujajibu.

Kwa nini unakwepa swali hili?
Ninakuelekeza kwa hatua, ninapaswa kukuambia kwa Mungu ni nini kisha nikuambie Ukuu wake, kipi ina na kipi haiwezi kufanya. Kipo ni nini na kipi si nini kwa Mungu, kwa pamoja tukishajua hayo, tutatoa hukumu juu ya hicho kiitwacho Mungu.

Unaogopa nini kujibu? Imani ni kuishi unachokijua, yaelekea huna imani hata ya kile unachofikiri unakijua.
 
Back
Top Bottom