tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,437
Hawa polisi hawana adabu kabisa kuwapiga wana ccm, kichapo hicho walistahili kupewa wana chadema, kwani wana ccm ni malaika.Watoto wa watu walimchangia mkwere 1m leo polisi wanawashushia kipondo cha mbwa mwizi ama kweli siasa mchezo mchafu. CCM iliwatumia kama kondom wamemaliza shida zao wana kong'oli hivyo.
MPONOLI nawe acha hizo si uulize! ni kweli mimi nimeongea na ndugu yangu sasa hivi kasema ni kweli WALIPIGWA TV ZILIONYESHA 2.WALIPOKUWA WANAFUKUZWA WAKIKUKAMATA WANAKUDAI RUSHWA ILI WAKUACHIE rushwa ndiyo hizo simu,pesa, ngono kwa wasichana maana ni porini. MPAKA HAPO NI KWELIAcha kuleta umbea hapa,source ni muhimu. Tumewasiliana na wadogo zetu haya unayoongea hayajatokea. Ila kichapo wamekula
hhaaaahaaaaaaaaaahahahaaaaaa Hii nimeipenda sana mkuu. yaanii waende na baskeli na kwa miguu kabisami nawashauri wachkue baskeli na wavae nguo za kijani,waendeshe baskeli kutoka udom mpaka ikulu wakampongeze waliempa hela ya kuchukulia fomu
Mponjoili tafadhali mambo mengine si ya ushabiki wa kisiasa, Gazeti la Mtanzania la leo limeripoti wanafunzi 120 wako ndani FFU wamewapora pesa,simu,vitambulisho vya benki,na kuwanyanyasa kijinsia,hii ni hali mbaya sana ,maandamano ya amani yanaruhusiwa katika katiba hii hii mbovu tuliyonayo hawana kosa wanafunzi hao na hakuna sababu ya kuwanyanyasa kama vile ni wageni katika nchi yao, Serikali ya CCM inajenga chuki bure kwa wananchi
Sasa inaonekana kama vile hakuna serikali kabisa nina maana kuna vacuum ya uongozi kila mtu anafanya kile yeye anaona kinapendeza ,nchi imeingia kwenye machafuko baado tuu kufikia kilele,tulioyaona Arusha kwa Jeshi la polisi kutumia nguvu kubwa kwa madiwni na mbunge wa Chadema yanonyesha kabisa jinsi KIKWETE alivyo dikteta na anavyo tawala kibabe,nchii iko kwenye maafa makubwa