Power of Meditation!
Nguvu ya bangi iko kwenye maficho yake!
Mfano: Kuna msemo usemwao "ubwabwa wa kwenye sherehe mtam kuliko wa nyumbani"
Ukweli ni kwamba mazingira ya upanakaji wa ule ubwabwa, vile ubwabwa unacheleweshwa, halafu kuupata kwa foleni, mikwara ya wagawaji na hofu ya kupigwa mchinjo, au vile kula wengi kwenye sahani moja, huchangia KUUFANYA UBWABWA UWE MTAM!
Na bangi ndivyo ilivyo! Siku Ikiruhusiwa hakuna atakaetamani kuvuta Bangi, itakuwa kama sigara zingine za kawaida tu!
NGUVU YA BANGI IKO MAFICHONI!
Maficho humfanya mtu awaze Mambo makubwa kwa sababu ya UTULIVU, hata ukichukua sigara ya kawaida ukaivutia chimbo kwa hofu, Mwili hupata hamasa tofauti na kuivutia hadharani!
Utam wa bangi ni Kama wa mchepuko, hata mwenza wako mkipeana kwa wizi utaona utamu.
Nguvu ya bangi iko kwenye maficho yake!
- Vile mvuta bangi anapovutia bangi chooni hiyo ndo inamfanya awe na mental illness
- Vile mvuta bangi anapovutia bangi msituni hiyo ndiyo inamfanya ajione mwamba
- vile mvuta bangi anapovutia bang beach, Starehe ya upepo wa beach huzani bangi inachangia!