Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
I had the same blv since 2008 n tried alot kusoma, nilishamsoma huyo Chande muasia, but nobody prove that to meUnaweza kumuuliza Sir Chande yuko hapo DAR,ambae alikuwa ni mwenyekiti wa freemason afrika mashariki.Na kitabu alitoa.Jitahidi kusoma
Zaidi nilishawaambia wanifanye kuwa mmoja wao wakabaki na kuweka masharti ambayo ni ya kunidiscourage nisiwafuatilie zaidi.
Ni sawa na watu wanaoamini na kuelezea nguvu ya uchawi flani ila nikiwaambia kama kuna uchawi huo waniloge mimi...wanaendelea kuvumisha habari ila hawawezi kuloga.
Its all about poor believes na rumuors.
Naamini UCHAWI upo ila sio kama jinsi watu wanavyoeleza, kuhusu Freemasons siamini at all.