Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth

Unaweza kumuuliza Sir Chande yuko hapo DAR,ambae alikuwa ni mwenyekiti wa freemason afrika mashariki.Na kitabu alitoa.Jitahidi kusoma
I had the same blv since 2008 n tried alot kusoma, nilishamsoma huyo Chande muasia, but nobody prove that to me

Zaidi nilishawaambia wanifanye kuwa mmoja wao wakabaki na kuweka masharti ambayo ni ya kunidiscourage nisiwafuatilie zaidi.

Ni sawa na watu wanaoamini na kuelezea nguvu ya uchawi flani ila nikiwaambia kama kuna uchawi huo waniloge mimi...wanaendelea kuvumisha habari ila hawawezi kuloga.

Its all about poor believes na rumuors.

Naamini UCHAWI upo ila sio kama jinsi watu wanavyoeleza, kuhusu Freemasons siamini at all.
 
Unaweza kumuuliza Sir Chande yuko hapo DAR,ambae alikuwa ni mwenyekiti wa freemason afrika mashariki.Na kitabu alitoa.Jitahidi kusoma
Huyu jamaa.ana matatizo ya akili.msamehe bure.ukiona mtu anapinga vitu ambavyo viko wazi achana nae.
 
HANA UWEZO WA KUMPA MTU PUMZI NA PIA HANA UWEZO WA KUISHI GOD AKIAMUA KUFANYA YAKE!!!![emoji5]
Huyu mama ana mamlaka next to God....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…