Nguvu uliyotumia kusambaza umbea itumie mwaka huu kusambaza bidhaa

Nguvu uliyotumia kusambaza umbea itumie mwaka huu kusambaza bidhaa

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2024
Posts
344
Reaction score
926
KUWA MMBEA UTATAKIWA :

1.Uwe na habari nyingi za watu ( za kweli au uongo)
2.Ujuane na watu wengi
3.Uwe na salio la kutosha kwenye simu
4.Uwe na nguvu ya kuongea kwa muda mrefu.
5.Usiwe na hasira za haraka pale ukiwekwa mtu kati kusutwa😊


SIFA HIZO ZA MMBEA NYINGI NI SIFA ZA MFANYABIASHARA SASA KWANINI USIGEUZE BIDHAA IWE KAMA UMBEA ILI USAMBAZE KWA WATEJA😊

#Mwanasayansi Saul kalivubha
#Fikia Ndoto Zako
 
Hizo bidhaa za bure bila mtaji zinapatikana wapi na mimi nikazisambaze kwa kasi ya 5 G?
 
Kuleta habari au sifa za mmbea nawe utakuwa mmbea vilevile.
 
Back
Top Bottom