KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Kama kuna elimu ambayo inatakiwa ifundishwe kwa sasa ni hii "nguvu ya akili ktk maamuzi".
hii ni kwasababu kuwepo kwa waathirika wengi ambao hufanya maamuzi ya hisia pasipo kushirikisha akili.
Kawaida ya hisia zikipendekezwa sana ktk kufanya maamuzi hujenga tabia tena tabia sugu!
imefikia hatua watu wanalalama na kuomba msaada ni kwa jinsi gani watashinda hisia zao..?
hapa ni kumaanisha akili imetekwa na hisia hivyo hata maamuzi anayoyafanya muathirika anayafanya kwa kufuata hisia.
hebu fikiri mtu anajua kabisa kuwa yeye kufanya kitu fulani kunaweza kuleta madhara lkn mtu yuleyule anafanya kitendo kile halafu baadae huanza kujilaumu!
Ufahamu/akili ndio control ya kila kitu ktk mwili wa mwanadamu, binafsi nijuavyo
hisia ni misisimko ambayo ipo ktk mwili.
kwa mtu anaejielewa/jitambua jambo hili la kupambana na hisia litakuwa jepesi sana kama atafanya maamuzi kwa kushirikisha mzizi wa ufahamu wake ktk kupingana na hisia mbaya.
ukiwa kama mzazi nakushauri muunde mtoto wako kufanya maamuzi ya akili.